Kunywa maji safi ya kutosha wewe, hali ikiendelea nenda kwny kituo cha afya upime hali ya macho yako.Habari zenu,
Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi, naombenmsaada kwa anayejua ni shida gani na kama kuna tiba ni hipi? Natanguliza shukrani
Ukiona jicho linatoa machozi ujue linataka kuchimbwa vilivyo.
ππππππUkiona jicho linatoa machozi ujue linataka kuchimbwa vilivyo.