Jicho kutoa machozi

Jicho kutoa machozi

Pelly

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
197
Reaction score
207
Habari zenu,

Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi, naombenmsaada kwa anayejua ni shida gani na kama kuna tiba ni hipi? Natanguliza shukrani
 
Kunywa maji safi ya kutosha wewe, hali ikiendelea nenda kwny kituo cha afya upime hali ya macho yako.
 
nadhani ingekuwa busara kama ungekwenda hospital kujua tatizo linalokusumbua.
 
Back
Top Bottom