Jicho la kijasusi: Watanzania tunasubiri kushiriki mazishi rasmi ya CHADEMA mwezi Januari 2025 baada ya msiba uliotokea mwezi huu wa Disemba 2024

Alpaslan Bey

Senior Member
Joined
Nov 4, 2023
Posts
121
Reaction score
163
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.

Kama ni mgonjwa naweza kusema chama hiki kilishaanza kuugua maradhi makubwa mwaka 2016, ikafikia kuwa mahututi mwaka 2019 na mwaka 2020 baada ya uchaguzi kikadikia hatua ya kuwa kwenye KOMA mpaka mwezi Disemba mwaka huu wa 2024 ambapo mgonjwa huyu amefariki rasmi na hivyo kinachosubiriwa ni mazishi mwezi Januari 2025
 
Utazikwa wewe na ukoo wako wote kama alivyozikwa dikteta Magufuli aliyeapa kuiua Chadema matokeo yake alamba mchanga yeye,kafie mbali huko.
 
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.

Kama ni mgonjwa naweza kusema chama hiki kilishaanza kuugua maradhi makubwa mwaka 2016, ikafikia kuwa mahututi mwaka 2019 na mwaka 2020 baada ya uchaguzi kikadikia hatua ya kuwa kwenye KOMA mpaka mwezi Disemba mwaka huu wa 2024 ambapo mgonjwa huyu amefariki rasmi na hivyo kinachosubiriwa ni mazishi mwezi Januari 2025
unaweza kusema chedema imepooza, upande moja hauna ushirikiano na mwingine :whatBlink:
 
Acha wafu wazikane...

...Ni Hayo tu!!
 
unaweza kusema chedema imepooza, upande moja hauna ushirikiano na mwingine :whatBlink:
Kwa jicho la ujasusi, hiki chama kipya meharibu maisha ya vijana wengi sana kwa usaliti wa viongozi wao baada ya kuacha kusudio lake. Acha CCM iendelee kutamba, kuaminika na kujiimarisha zaidi.
 
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.

Kama ni mgonjwa naweza kusema chama hiki kilishaanza kuugua maradhi makubwa mwaka 2016, ikafikia kuwa mahututi mwaka 2019 na mwaka 2020 baada ya uchaguzi kikadikia hatua ya kuwa kwenye KOMA mpaka mwezi Disemba mwaka huu wa 2024 ambapo mgonjwa huyu amefariki rasmi na hivyo kinachosubiriwa ni mazishi mwezi Januari 2025
Wewe ni kiona mbali.
Alivyowanunua Lowasa na kumdhalilisha Role modo Slaa, mi nikajitoa na kujitoa nikabaki lipopo lisilo lindege wala lipanya.
 
Mwamba mbowe hawezi kukubali chadema ife
Kauli za namna hii huwa baadaye zinaleta aibu kwa mtamkaji wake.

Hawezi kukubali sawa, lakini akikosa wafuasi wa kukiunga mkono chama chake atawalazimisha?

Ndiyo maana kuna vyama vya siasa vingi sana Tz, lakini mostly ni vya kwenye Laptop, sababu zikiwa ni hizo hizo, ubabe na ubinafsi.
 
Jiwe mwenyewe alikufa akaikosa siku ya kushuhidia mazishi ya CDM, wewe ni nani??
 
Na hii ni baada ya kumng’oa Mh Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti, Mihemko na matamko ya hovyo hovyo pamoja na ushabiki usio na kichwa wala mguu ndani ya chama utakaoonekana kama ndo mtaji mpya wa chama kumbe ndo nira yenyewe ya kuelekea kwenye josho la mfadhaiko wa kisiasa ndani ya Chadema. Niulize kwa nini, CCM haiko tayari kuwa karibu na chama cha siasa ambacho mwenyekiti wake ni unpredictable kwa muktadha wa maslahi mapana ya nchi, cha kwanza kabisa ni kumpunguzia au kumnyima kbs ruzuku, Mh Zitto ameisubiri hii nafasi kwa muda mrefu sana sasa yuko pale akichekelea, baada ya kunyimwa au kupunguziwa ruzuku kinachofuata ni ku_suffocate amini hakuna kitu kibaya kama njaa dunia hii. Mh. Mbowe ameweza sana kucheza na akili za watawala ili Chama cha Chadema kiweze kuwa chama cha kwanza cha upinzani Tanzania na kupokea ruzuku nono kutoka serikalini kwa miaka kadhaa sasa.
 
Back
Top Bottom