Alpaslan Bey
Senior Member
- Nov 4, 2023
- 121
- 163
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.
Kama ni mgonjwa naweza kusema chama hiki kilishaanza kuugua maradhi makubwa mwaka 2016, ikafikia kuwa mahututi mwaka 2019 na mwaka 2020 baada ya uchaguzi kikadikia hatua ya kuwa kwenye KOMA mpaka mwezi Disemba mwaka huu wa 2024 ambapo mgonjwa huyu amefariki rasmi na hivyo kinachosubiriwa ni mazishi mwezi Januari 2025