Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

Domo kapoteana mimi nadhani Hamorapa plus Bashite wanamuendesha
Thanks Hamorapa Kiboko ya Mabishoo
 
khu post: 20559479 said:
Mlisema hivihivi kua Dai kushiriki kwenye kampeni za chama dola,lakini ndo hivyo,huyu jamaa anang'aa tu.Wimbo ni mzuri sana,nilipo hapa unapigwa kila kona.
Unapigwa huko kwenu koromije tu
 
Si yule UOTE="NAIPENDA CCM DAIMA, post: 20562747, member: 423676"]Umewahi kumuona huyo bashite???[/QUOTE]
Si yule aliyemteka Roma na kuvamia clouds na makirikiri
 
Domo ni memshusha heshima akili zake kama za lemutuz, bashite na baba ubaya
 
Bashite bana, kwa hiyo kaamua kurudi kwa domo baada ya Lemutuz kushindwa kumkwamua? [HASHTAG]#freeroma[/HASHTAG].. Sikio la kufa halisikii dawa
 
Nyimbo alipaswa kuwaimbia mama yake na kina Babutale,mkubwa fela&Makonda wakiwa wanabembelezana labda na wale vijana ambao bado wananuka maziwa ya mama
 
Wimbo nauskia kwa jirani unapigwa huku nasikia watu wanapiga kelele " hatutaki tunataka vyeti" hoja niutafte niusikilize.

Ola hpan siwezi poteza mb zangu kudownload nyimbo za vibaraka wa ccm
 
Vyeti vyeti vyeti...
 
Kweli kila mtu anakitazama nafsi yake mh! Kweli diamond haon kama makonda anaenda kinyume nasheria kwa mambo anayo yafanya!? Media mlitazame hili! Kama vp ata huo wimbo msiupige katika media zenu.
 
Baada ya kumleta Roma tunataka amlete Ben pia
 
Huyu binti upumbavu wake humu umepitiliza.

Sasa wewe mama bashite unayajua maisha yangu?. Nyinyi ndiyo kula kulala na kukesha jf mkimtetea jambazi bashite. Hukuwa na sababu za kupitia kwenye uzi.
 
Wewe, Bashite na Diamond wote mnavaa skin tight ndiyo maana akili zenu zinafanana.
Huyu diamond nasibu whatever his name is, acha tumalize ya bashite tutamrudia yeye na hawala yake. Wizara ya mambo ya ndani itueleze kama hawala ya nasibu anayo work permit ya kufanya kazi Tz au amejifanya naye ni Mtz. Commercial za GMS alifanya akiwa na work permit au ni kujiamini au kutokujua! Tutaanzia hapo mbu$$&&.....Sasa mtaelewa kwa nini yale macommercial ya GMS malls. Diamond acha kutumika usione umepata leo hujui ya kesho ndugu yangu Tz ni yetu sote sio yenu peke yenu.
 
Wewe unayemchukia Mheshimiwa, hauchoki?

Naona siku hizi unazidi kutunga uongo juu ya chochote, utafikiri yeye ndiye alikupangia maisha yako yawe yalivyo. Mtanyooka tu

Makonda oyeeee
Waambie hao mheshimiwa Bashite hadi wakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…