Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kumuona huyo bashite???Sasa bashite nawe tumekusikia
Unapigwa huko kwenu koromije tukhu post: 20559479 said:Mlisema hivihivi kua Dai kushiriki kwenye kampeni za chama dola,lakini ndo hivyo,huyu jamaa anang'aa tu.Wimbo ni mzuri sana,nilipo hapa unapigwa kila kona.
Tafuta video ya uvamizi clouds na mitutu ya bunduki anaonekana vizuri tuUmewahi kumuona huyo bashite???
Vyeti vyeti vyeti...Wimbo ni mistari ya mashairi siyo Melody wala umarufu wa mtu
Wimbo huu umekuja ki mkakati umekuja kulifanya jina la MAKONDA lijadiliwe
Liimbwe na media zilizomkataa, Dai kajilipua kumsaidia aliyekataliwa asikike
Ni akili kubwa imecheza ili tusiye mtaka arejee vinywani mwetu kupitia ushawishi wake,wapenzi wake kimuziki[emoji15][emoji15][emoji15]
Tunachezeshwa kwa sauti nyororo yenye kujaa huruma huku yeye akiwa anacheza dili ya kumfufua mfu kisiasa na kimadili
Kagusa hata Bunge ili kushawishi pande zote ili lengo lake litimie hiyo ni akili kubwa mno[emoji12][emoji12]
Walijipanga vizuri sana kama hujifikirishi sana unanasa tu
Mwanzo nilinasa nikachambua shairi nikagundua baada kujiuliza nini Gwajima, Mange kuhusishwa
Nikagundua Askofu Gwajima na Dada Mange ndo wahanga wa wimbo huu wala siyo Roma
Wimbo upo mahususi kimlinda mtu na kushambulia wanaohoji uharali wa vyeti
Hitimisho ni dharau kwetu kuwa tunakaa vijiweni kujadili VYETI VYA BASHITE badala ya KUSAKA SENTI[emoji15][emoji15][emoji15]
Diamond hayupo na Roma Mkatoriki yupo kutetea Mjadala wa VYETI
TUSANUKE TUSIINGIZWE CHAKA TUDAI VYETI BASHITE TOA VYETI
Allan Bhujo FBI
Sasa wewe mama bashite unayajua maisha yangu?. Nyinyi ndiyo kula kulala na kukesha jf mkimtetea jambazi bashite. Hukuwa na sababu za kupitia kwenye uzi.
Huyu diamond nasibu whatever his name is, acha tumalize ya bashite tutamrudia yeye na hawala yake. Wizara ya mambo ya ndani itueleze kama hawala ya nasibu anayo work permit ya kufanya kazi Tz au amejifanya naye ni Mtz. Commercial za GMS alifanya akiwa na work permit au ni kujiamini au kutokujua! Tutaanzia hapo mbu$$&&.....Sasa mtaelewa kwa nini yale macommercial ya GMS malls. Diamond acha kutumika usione umepata leo hujui ya kesho ndugu yangu Tz ni yetu sote sio yenu peke yenu.Wewe, Bashite na Diamond wote mnavaa skin tight ndiyo maana akili zenu zinafanana.
Yale ya shigongo??Huu wimbo hauwezi kupata airtime ya kutosha na ndio unampoteza mazima Nasibu
Waambie hao mheshimiwa Bashite hadi wakuelewa.Wewe unayemchukia Mheshimiwa, hauchoki?
Naona siku hizi unazidi kutunga uongo juu ya chochote, utafikiri yeye ndiye alikupangia maisha yako yawe yalivyo. Mtanyooka tu
Makonda oyeeee
Kumbe ni matusi eeh, sasa mliposema wapi kuna tusi naona mmelionaMkuu unahitaji nikutatue marinda? Am here nisitue tu muda wowote