Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?)

Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana walikuwa wanashirikiana kuhifadhi noti katika ile Benki kubwa (kama yasemwayo ni ya kweli) na walipoona dalili za Mzeee Baba kuondoka huku wakiwa na hofu ya mrithi wake kuzuia fedha hizo, wakaamua kuziondoa haraka kwa tahadhari ili zisije kuchukuliwa au kuwalatea matatizo iwapo mrithi wa Mzee Baba angeamua kuzizuia.

Kama niwazavyo ni sahihi, najiuliza tu kama familia ya Mzee Baba imeambulia chocolate na kama wamedhulumiwa, nawaza wataenda kushitaki wapi zaidi ya wao kulipiza kwa kutoa siri na kuwa wapole.
 
Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu - Konda wahi kuweka kigingi gari linatoka nje ya barabara) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number fulani kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .

Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .

#Nawasalimu kwa jina la CAG (Itikieni "Tumeibiwa sana wanyonge ila bado hatujakoma")
 
Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
 
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wakaribu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika na hivyo walikuwa wanafunzi sina siri.

Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana walikuwa wanashirikiana kuhifadhi noti katika ile Benki kubwa na walipoona dalili za Mzeee Baba kuondoka huku wakiwa na hofu ya mrithi wake kuzuia fedha hizo, wakaamua kuziondoa haraka kwa tahadhari ili zisije kutaifishwa au kuwalatea matatizo iwapo mrithi wa Mzee Baba angeamua kuzizuia.

Kama niwazavyo ni sahihi, najiuliza tu kama familia ya Mzee Baba imeambulia chocolate na kama wamedhulumiwa, nawaza wataenda kushitaki wapi zaidi ya wao kulipiza kwa kutoa siri na zaidi kuwa wapole.
Alafu kuna wajinga watatu Assad. Lema na Lisu wanatokwa povu kutuaminisha kwamba Magufuli alikuwa zero tu.

Hata mabeberu yanayowalea Ulaya yamewakana sasa

Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .

Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .
Psskali huyu huyu wa Jf?
 
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika na hivyo walikuwa wanafunzi sina siri.

Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana walikuwa wanashirikiana kuhifadhi noti katika ile Benki kubwa na walipoona dalili za Mzeee Baba kuondoka huku wakiwa na hofu ya mrithi wake kuzuia fedha hizo, wakaamua kuziondoa haraka kwa tahadhari ili zisije kutaifishwa au kuwalatea matatizo iwapo mrithi wa Mzee Baba angeamua kuzizuia.

Kama niwazavyo ni sahihi, najiuliza tu kama familia ya Mzee Baba imeambulia chocolate na kama wamedhulumiwa, nawaza wataenda kushitaki wapi zaidi ya wao kulipiza kwa kutoa siri na zaidi kuwa wapole.

Ramli
 
Mkuu kuna tetesi wahuni wanafanya juu chini ili kilichotokea pale BoT kisiwekwe hadharani. Ngoja tusubiri Mkuu.

Kwani sirini mkuu utayajua wenda pia Kuna likababi kabla limejaa niti na madhaabu, mengine tumuachie mungu shukulu kile umefanikiwa japo kunongozezwa, nchi ngum Sana mkuu
 
Watu mmekua kama wapiga ramli, kujitungia vihadithi na vinadharia na kuvileta humu.

Mzee ameshafariki, mama ameshaunda serikali yake habari zimeishia hapo.

Hizo ngonjera nyingine hadithianeni na familia zenu. Kutuletea humu story za kufikirika ni uhayawani.
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Hawa ndio vijana wanaotegemea Mbowe ashike nchi awape nafasi, zero brain kabisa. Hii nchi si itakua kama Somalia?
 
Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu - Konda wahi kuweka kigingi gari linatoka nje ya barabara) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number fulani kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .

Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .

#Nawasalimu kwa jina la CAG (Itikieni "Tumeibiwa sana wanyonge ila bado hatujakoma")

Tungekuwa na ushahidi hizi story zingeleta maana sana. Unashikaje simu ya boss wakati Col wa jeshi yuko nyuma yake?
 
Kuna za chini ya kapeti kwamba Mwendazake hali ilivyokua mbaya (Kupumua kwa Jeki, Kuhema kwa Pampu - Konda wahi kuweka kigingi gari linatoka nje ya barabara) yule Katibu Mkuu wa Chama Cha Mataga alikua akitumia "SIMU YA MKONONI" ya Mwendazake.

Akawa akiwatumia "SMS" wambea wa Jamhuri kwamba hali yangu ni nzuri na ninafanya kazi za ndani za ikulu (Sijui kazi hizo za ndani zilikua ni usafi au deki) ondoeni shaka kabisa, na akamtumia sms "MUWEKA HAZINA" ahamishe kiasi fulani cha mzigo kwenda Account Number fulani kwaajili ya kuninunulia mashine za matibabu yangu . . . .

Mungu si athumani wala joti, Mama akashika rungu na kulibwaga sinia la pilau puuuuuuuhhh chini likajaa mchanga ndani ya muda mfupi . . .

#Nawasalimu kwa jina la CAG (Itikieni "Tumeibiwa sana wanyonge ila bado hatujakoma")
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom