Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

😅😅😅😅
 
Unatunyamazisha wakati tumepigwa?? Hatudanganyiki.
 
Hizi sio pesa za ukoo, ni pesa za wananchi na zinahifadhiwa BOT. Anayechukua nje ya utaratibu huyo ni mwizi tu hakuna justification nyingine.
 
Tuliza mshono dogo
 
Propaganda tupu.
 
Tungekuwa na ushahidi hizi story zingeleta maana sana. Unashikaje simu ya boss wakati Col wa jeshi yuko nyuma yake?

Wakisikia mpambe wa Rais wanafikiri yuko pale kama pambo. Haya yote yanakuja kujaribu kuzima yule jini chechetu anaye tuhumu watu flani.
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Punch line ya mwisho nimeipenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Ni watu 3 tu walio kuwa wanafanya maamuzi ya matumizi ya pesa ya nchi hii, ndicho kilicho wezesha wawli kuendelea kufanya maamuzi hata pale ilipo julikana wa tatu kesha pumzika. Enzi hizo utaasis ulisha zikwa.
 
Madogo mnawaza kama akili zenu ziko magotini

Rais/Urais ni taasisi

Mtu mmoja hajiamulii mambo huku kuna vyombo husika vinaangalia tu eti wanakaa watu wawili wanapeana simu kama mnavyoachiana wewe na kimada wako
Hilo neno la urais ni taasisi nimeshalidharau kabisa na kuona ni takataka,na kama lipo basi sio Tanzania,labda ulaya huko.mtu alikuwa anajiamulia anavyotaka halafu useme taasisi,taasisi ya
 
Story yako kama inakaukwel kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…