LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.
Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.
Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.
Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.
JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.
Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.
J.K: Katika jamii ninayoishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.
FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT