Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Kaka kombe likifanyikia Canada ushoga hauwezi kuwa ishu KWA sababu haitatumika nguvu yoyote kuutangaza/kuupinga.

Tumekuwa tukitazama ligi za Uingereza, Spain n.k ambako bendera za upinde zimekuwa ni jambo la kawaida na watu wamekuwa wakizipuuzia na ku concentrate kwenye mpira.

Mzungu kaona njia ya kuupromote ushoga in a direct way haina nguvu zaidi kama njia ya ku upromote in an indirect way.

Njia ya indirect way imeonekana kuwa ina work zaidi kuliko njia ya direct way na Qatar wameshaonyesha njia.

Watu bilioni walio Tazama mechi ya KWANZA tayari SASA hivi WANAJUA ushoga ni nini KWA sababu habari za kuwapinga mashoga zilisemwa sana kabla ya hiyo mechi.

Kati ya hao watu bilioni saba wapo vijana wa kiume ambao walikuwa hawajui chochote kuhusu ushoga wataanza kuwa curious kujua ni kitu GANI hicho.

Aliwahi kusema Tshaka Zulu " Esithi si kumte bumlungu" akimaanisha don't trust a white man..

Tunapaswa kujua kwamba mzungu sio mjinga kupeleka kombe Qatar.

Qatar na Maka/Medina ni kama Dar to Tanga.

Uislamu ni dini pekee iliyo baki duniani ambayo bado ina misimamo imara dhidi ya ushoga n.k.

Soon nchi zote za kiarabu zitakuwa Dubainized.

Niko pale nimekaa
Hizi akili za kutanzania kujichukulia kama watu wasio na ufahamu wa mambo zinanichosha kwa kweli!
Yaani watu hawajui nini ushoga mpaka uqe propagated na Qatar kwa namna ya kuupinga?Watanzania acheni kujitoa ufahamu kiasi hicho !msiba mkubwa kwamba leo hii nitakutana na kijana wa 18plus ashindwe kuniambia msamiati wa ushoga na kwamba kaujulia kwa kombe la dunia
 
Uzi umekuzidi kimo huu mkuu
 
mwarabu anazuia ushoga lakin ndio top kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile, hii michezo imeenea sana nchi za kiarabu
 
Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.

Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.

Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.

Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)

Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.

Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.

Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.

JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.

Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.

J.K: Katika jamii ninayoishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.

FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT
Kwani unafikiri kuna mtu mzima hajui kama kuna ushoga? Au unafikiri kuna sehemu duniani hakuna kabisa ushoga?
La msingi binadamu wote wanaona ni jambo kinyume na maumbile ya binadamu na ni kinyume na maadili ya ubinadamu na dini zote zimeharamisha.
Kinachopigwa vita hapa ni nchi za magharibi kutaka ushoga ukubalike kama haki ya mtu na mashoga waweze kujitangaza na kupromote hiyo tabia yao kama wamaghsribi wanavyojaribu kufanya. Hili ndio jambo tishio kwa maadili ya walimwengu na dunia lazima kuungana kupiga vita huu mwelekeo wanaleta wamagharibi.
 
Kombe la DUNIA linatazamwa na watu wazima tu sio?

Okay anyways unajua nguvu ya curiosity mkuu?

Unajua vichocheo vya curiosity?
 
Putin anakubaliana na wazo langu.

Screenshot_20221125-155200.png
 
Nguvu wanayotumia kupambana na ushoga imefanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.

KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.

Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.

Wakati wanawania au wanashinda uandaaji wa finali hizi haya mambo ya ushogo ndani ya viwanja vya mipira havikuepo kwa wakati huo. Haya mambo yameshamiri miaka ya hivi karibuni tu.
 
Okay
Wakati wanawania au wanashinda uandaaji wa finali hizi haya mambo ya ushogo ndani ya viwanja vya mipira havikuepo kwa wakati huo. Haya mambo yameshamiri miaka ya hivi karibuni tu.
 
Ilikuwa corona/covid19 Sasa ni agenda za ki LGBTQ zisambazwe Dunia nzima

Wazungu Wana upumbavu sana aisee

Hii ndio multiverse of madness au universe of madness
 
Back
Top Bottom