Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umiliiki una structure yake kabla ya kuandika inabidi ufuatilie kwanza umiliki wao upo vipi ? mfano Simba Mo ndiye mmiliki lakini hana umiliki wa asilimia zote na wakati mwingine maaamuzi hayatoki kwake Moja kwa Moja.Yah alfu unakuta mpka hao waarabu ndio wazamini wakubwa wa ligi hyo sas kuna nin sas hv ,waarabu ni wanafiki san
Wafalme wao ndio wanamiliki vilabu vikubwa na vinavyo sapoti ushoga
Mzee unaona mambo kwa jicho la 3,nilisema hapa kuwa ushoga utapelekwa Qatar ila watu walibaki kusema eti Qatar wameiheshimisha dinin ya kiisalam kumbe loo hakuna kituMambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.
Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.
Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.
Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.
JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.
Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.
J.K: katika jamii ninayo ishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.
FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT
Noma na media za ulaya zimeshikilia bangoKabisa mkuu sasa hivi KILA mtu anazungumzia ushoga na sio mpira
Wenzetu akili nyingi sanaaNinachokidhania mimi huenda wazungu nao pia suala la ushoga hawakulipanga wala kuliwaza hapo awali, isipokuwa ni kama zali la mentali, hivyo muarabu naye alivyo mweupe kichwani kajaa mulemule na misimamo yake ya kidini bila kutumia akili. Kilichobaki ni kumwachia autangaze mwenyewe.
Kwani Qatar hakuna ushoga?Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.
Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.
Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.
Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.
JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.
Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.
J.K: katika jamii ninayo ishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.
FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT
Tena anaonekana anaumia sana kwa Qatar kupiga marufuku ushoga,hii thd ni kama ya kujifariji tu.Wewe pia ulie andika unapenda ushoga
OkEti intelligence ya Qatar hawakuliona hilo ila wewe wa huko Namtumbo ndio umeliona!
basi hapo mwenyewe unajiona bonge la great thinker Eee? 😀😀
Qatar hataki ushoga kwenye nchi yake,wanaolalamika ni hao waliokataliwa kufukuana mitaro kwenye nchi ya watu wastaarabu,fukuaneni mitaro kwenu huko ila Qatar amegoma,mtafungua thd mpaka michuano itaisha ila Machoko ni big no in Qatar.