Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Mambo mengine ( hasa mambo ya hovyo kama ushoga )ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.

Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.

Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.

Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way ( there is no bad publicity)

Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.

Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.

Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.
Video kama hizi ndio zinatrend kwenye viunga vya Qatar
 
This is what I am.talking about. I am.strongly blv kombe la DUNIA mwaka huu limepelekwa Qatar strategically KWA ajili ya kuufanya ushoga uwe popular KWA ku upromote in an indirect way.

Wazungu iko janja janja
Huenda kuna usahihi kwenye mtazamo wako.
 
Kwenye kupromoti ushoga wazungu wanapata nn?
Wanataka ku control population. Wanaamini sayari ya dunia ina uwezo wa ku accommodate watu chini ya bilioni. Kwamba idadi ya wakaazi wa Dunia ikifikia watu bilioni kumi dunia ita collapse so wanataka ku balance at least population ya watu duniani iwe watu bilioni tatu au nne hivi. Jambo hilo ( KUPUNGUZA idadi ya watu).haliwezekani kama watu wataendelea kuzaliana KWA kasi ya SASA na kiwango cha SASA. Moja Kati ya njia ambazo Wana amini zinaweza kusaidia ku control population ni pamoja na uwepo wa watu wanao jihusisha na ngono za jinsia moja.
 
Nguvu wanayo tumia kupambana na ushoga ime fanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.

KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.

Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.
Mkuu wangu kiumbe anayeitwa mzungu achana naye aiseee hao watu nimewavuliaga kofia wana mbinu za hatari sana kwenye hii dunia wengi hawalijui jambo hili ila siku wakijua washangaamia tayari..
 
Wanataka ku control population. Wanaamini sayari ya dunia ina uwezo wa ku accommodate watu chini ya bilioni. Kwamba idadi ya wakaazi wa Dunia ikifikia watu bilioni kumi dunia ita collapse so wanataka ku balance at least population ya watu duniani iwe watu bilioni tatu au nne hivi. Jambo hilo ( KUPUNGUZA idadi ya watu).haliwezekani kama watu wataendelea kuzaliana KWA kasi ya SASA na kiwango cha SASA. Moja Kati ya njia ambazo Wana amini zinaweza kusaidia ku control population ni pamoja na uwepo wa watu wanao jihusisha na ngono za jinsia moja.
Je hilo ni jambo baya au ni jema?
 
Jicho la tatu
Screenshot_20221122-220930.png

Back
Top Bottom