Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Hizi akili za kutanzania kujichukulia kama watu wasio na ufahamu wa mambo zinanichosha kwa kweli!
Yaani watu hawajui nini ushoga mpaka uqe propagated na Qatar kwa namna ya kuupinga?Watanzania acheni kujitoa ufahamu kiasi hicho !msiba mkubwa kwamba leo hii nitakutana na kijana wa 18plus ashindwe kuniambia msamiati wa ushoga na kwamba kaujulia kwa kombe la dunia
 
Uzi umekuzidi kimo huu mkuu
 
mwarabu anazuia ushoga lakin ndio top kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile, hii michezo imeenea sana nchi za kiarabu
 
Kwani unafikiri kuna mtu mzima hajui kama kuna ushoga? Au unafikiri kuna sehemu duniani hakuna kabisa ushoga?
La msingi binadamu wote wanaona ni jambo kinyume na maumbile ya binadamu na ni kinyume na maadili ya ubinadamu na dini zote zimeharamisha.
Kinachopigwa vita hapa ni nchi za magharibi kutaka ushoga ukubalike kama haki ya mtu na mashoga waweze kujitangaza na kupromote hiyo tabia yao kama wamaghsribi wanavyojaribu kufanya. Hili ndio jambo tishio kwa maadili ya walimwengu na dunia lazima kuungana kupiga vita huu mwelekeo wanaleta wamagharibi.
 
Kombe la DUNIA linatazamwa na watu wazima tu sio?

Okay anyways unajua nguvu ya curiosity mkuu?


Unajua vichocheo vya curiosity?
 
Putin anakubaliana na wazo langu.

 

Wakati wanawania au wanashinda uandaaji wa finali hizi haya mambo ya ushogo ndani ya viwanja vya mipira havikuepo kwa wakati huo. Haya mambo yameshamiri miaka ya hivi karibuni tu.
 
Okay
Wakati wanawania au wanashinda uandaaji wa finali hizi haya mambo ya ushogo ndani ya viwanja vya mipira havikuepo kwa wakati huo. Haya mambo yameshamiri miaka ya hivi karibuni tu.
 
Ilikuwa corona/covid19 Sasa ni agenda za ki LGBTQ zisambazwe Dunia nzima

Wazungu Wana upumbavu sana aisee

Hii ndio multiverse of madness au universe of madness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…