Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
1. Huyu mwamba achunguzwe vizuri usikute anasajilli watu kwenye vikundi vya uhalifu mitandaoni (Scammers) au mapenzi ya jinsia moja.
2. Mtu haelewek anafanya shughuli gani za kiuchumi ila lifestyle ya juu kwa kuegemea Magari huku akibwata tafuta hela tafuta hela.
3. Hilo jicho la tatu ni lipi? Vijana chukueni tahadhari