Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Ushirikina ingekua ni pesa basi Africa ingekua tajiriIngekuwa whatsap group tu basi wengi wangepiga hela 😀 kwa kifupi huyo ni mshirikina mkubwa!
Ushirikina ingekua ni pesa basi Africa ingekua tajiriIngekuwa whatsap group tu basi wengi wangepiga hela 😀 kwa kifupi huyo ni mshirikina mkubwa!
Kanisa limeficha vitu vingi sana kwa mgongo wa dini.Scammer number moja ni hao wote wanaomiliki makanisa binafsi, wote ni fake tu. Kanisa halisi nenda kwa makanisa ya kawaida sijui RC, Anglicans, KKKT etc, unaweza kukutana na scammers huko pia lakini kanisa kama kanisa halina hayo makandokando ni udhaifu wa kiongozi mmoja mmoja.
NJe aliko natwa au walimrufisha kumfunga kwao??Erick Mandala yupo ndani sasa hivi
Ahahah..Ginimbi yule Mzimbabwe right??Huyo yeye hana anachofanya watu km hao hawana miaka mingi ya kuishi na hua wanaishia kufa kifo cha aibu, Ginimbi yupo wapi?
Pamoja na hayo anauz mbwa ila nyuma ya pazia anatumia uchawi ule wa malawiKatika maisha nilichobaini toka kukua kwangu kuhusu pesa
mafanikio ya pesa yanayokana na
1 asili uliyoyotoka mazingira ya familia pande zote baba au mama
2 kuna bahati
3 kuna roho mbaya hii inatokana na kufanya kazi chafu
Mlevi roho ikakuuma sana 🤣🤣🤣Jana Jmosi Usiku yeye na matajiri wenzake wamenawia mikono Pombe hadi imeisha...
ina thaman ya Laki 3 ile...
Ndio huyo huyoAhahah..Ginimbi yule Mzimbabwe right??
Kadakwa huko Nchi za wenyewe sio Congo ni AmerikaNJe aliko natwa au walimrufisha kumfunga kwao??
Kama walimrufisha Congo basi ni kaz bure tu