Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Watu wanauza hata madawa na kuua watu kwani ya erick mandala yapo wapi nani alidhaniaWanangu wanauza sana simu, washaenda sana China ila cha ajabu hawapati pesa kama hawa.Sijui hela zao hasa zinatokana nini???
Siku zao zinakuja watanasa tu mtajua kila kitu kaeni mkao wa kusubiriWanangu wanauza sana simu, washaenda sana China ila cha ajabu hawapati pesa kama hawa.Sijui hela zao hasa zinatokana nini???
Erick Mandala yupo ndani sasa hiviWatu wanauza hata madawa na kuua watu kwani ya erick mandala yapo wapi nani alidhania
Sasa kuweni na subira mtajua anafanya nini ipo siku yatafahamikaErick Mandala yupo ndani sasa hivi
Huyo yeye hana anachofanya watu km hao hawana miaka mingi ya kuishi na hua wanaishia kufa kifo cha aibu, Ginimbi yupo wapi?Sasa kuweni na subira mtajua anafanya nini ipo siku yatafahamika
Group 1 tuseme watu 200, lets say ana groups 50, jumla watu 10,000 ambapo kila mmoja akitoa laki kujiunga ni 1B Mercedes maybach S class ni almost 1B ma bado ana mjengo na magari mengine ya kifahari. Hesabu bado hazina ukweliTanzania kuna nyumbu wengi sana ukitumia fursa unatajirika vizuri tu.
Huyo jamaa hana kazi yoyote ila katumia fursa ya ujinga walionao watanzania tu na kafanikiwa, mtaji wake wa kwanza ilikua ni smartphone na gari za kuazima ila kwa sasa kaweza kumiliki gari zake maana biashara ya kutumia fursa ya ujinga wa watanzia inalipa sana.
Kazi yake ndo hiyo kusema tafuta hela ili yeye aje akupige, tena unaipeleka kwa hiyari yako huku unaomba uungwe kwenye grp ambalo utaishia kupewa motivation tu mambo ya kufikirika.
Hazina ukweli kwasababu umefanya hesabu za makadirio kwahiyo zitaendelea kutokua na ukweliGroup 1 tuseme watu 200, lets say ana groups 50, jumla watu 10,000 ambapo kila mmoja akitoa laki kujiunga ni 1B Mercedes maybach S class ni almost 1B ma bado ana mjengo na magari mengine ya kifahari. Hesabu bado hazina ukweli
Ingekuwa whatsap group tu basi wengi wangepiga hela 😀 kwa kifupi huyo ni mshirikina mkubwa!Hazina ukweli kwasababu umefanya hesabu za makadirio kwahiyo zitaendelea kutokua na ukweli