Jicho la tatu la Chief Godlove linafikirisha!

Kuna mtu ameandika anakusanya hela mitandaoni nadhani jamaa watakuwa wanakusanya taarifa ili waruke nae vizuri.

Juzi nimeona post twitter police wamekamata watu kumi kwa tuhuma za kuwadanganya watu kuwafundisha utajiri.
 
Kanisa limeficha vitu vingi sana kwa mgongo wa dini.
 
Katika maisha nilichobaini toka kukua kwangu kuhusu pesa

mafanikio ya pesa yanayokana na

1 asili uliyoyotoka mazingira ya familia pande zote baba au mama

2 kuna bahati

3 kuna roho mbaya hii inatokana na kufanya kazi chafu
Pamoja na hayo anauz mbwa ila nyuma ya pazia anatumia uchawi ule wa malawi
 
Kawaida wenye fedha hawana kelele.
Wako kimya kiasi huwezi jua lolote juu yao, wala mipango yao.
zaidi unaona matokeo tu.
Hawa wanao sema tafuta pesa kijana, ni mapateli na ujinga wako ndio mtaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…