Uchaguzi 2020 Jicho la Tatu: Mgombea Urais CHADEMA ni Freeman Mbowe! Tundu Lissu Pacemaker! Nyalandu ni Serious Contender, Msigwa anatania, Dkt. Mayrose Majinge...

Unaota eee
 

Mkuu P, nimechelea kufanya uchambuzi wa nafasi za waliotia nia ya kugombea Urais tiketi ya CHADEMA, kwa sababu zifuatazo:-
√ Chama kukosa mwelekeo hadi sasa. Viongozi wake wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kujadili na kuzungumzia matukio badala ya Agenda zitakazobeba Ilani ya Uchaguzi Mkuu, 2020;
√ Hata Sera za chama zilizozinduliwa kwa mbwembwe, zimeyeyuka midomoni mwao na kwenye mitandao ya kijamii; na
√ Muda umebaki mfupi wa kuandaa Ilani yenye ushawishi mkubwa kwa sababu viongozi wa CHADEMA wanarejea majimboni kujijengea ushawashi kwa wapiga kura ambao wengi wao wanaonesha kukubali yaliyofanywa na Serikali ya CCM, inayongozwa na Dr Magufuli.
 
Angalizo: Hoja hapa sio ku discuss watu, ni tuna discuss ideas hivyo kama wewe sii miongoni mwa watu wenye uwezo wa kusoma in between the lines na kubaini the motive behind!, nakushauri tuu jipitie zako tuu usipoteze muda wako, na wale wachangiaji simple minds ambao hao kazi yao ni kujadili watu kama kumjadili mtoa mada, karibuni kule MMU etc.
 
chama Cha CCM tuna bilions za ruzuku na miradi hatujafuja zinasubiri uchaguzi nyie ruzuku na michango ya wafadhili mumelamba zote ndio maana mnategemea mgombea mwenyewe apambane na hali yake
Kulinganisha ccm na vyama vingine katika masuala ya fedha ni kosa la kiufundi kabisa.
CCM ina vyanzo vingi sana vilivyotokana na uporaji wa rasilimali za umma. Haina tofauti na jambazi anayejisifia ukwasi kutokana na kupora na kuiba Mali za jirani zake.
 
Naomi yako
 
Inawauma sana kuona cdm bado imara sana
 
p
Paskali umemwogopa STAR GWAJI mbona sikuoni KAWE
 

Mkuu hili bandiko lako la ramli mfu liliishia wapi?
 
Makala za Mayalla ndefuu zinachosha sana!! Afu hazina mvuto kwamba ukianza kusoma ikusukume hadi umalize.

Afu uandishi wake ni wa kipiga ramli.... ramli
 
Uko makini sana, respect...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…