Jicho la tatu: Michuano ya CAF itavurugika? Kaizer Chiefs nayo yapigwa stop kuingia Morroco

kuna wale wapiga tarumbeta watajifanya hii hawaioni....... namungo ilipozuiliwa mlisema sababu tz haifuati miongozo ya who, hao wasouth mnakuja na porojo zingine hovyo kabisa.
 
Nenda tu mkuu
 
Ujerumani pia imefanya kama ilivyofanya Morocco, game ya RB Leipzig itapigwa ktk neutral ground huko Budapest.Kawaida sana wala huhitaji kusema CAF hawajajipanga
 
Ujerumani pia imefanya kama ilivyofanya Morocco, game ya RB Leipzig itapigwa ktk neutral ground huko Budapest.Kawaida sana wala huhitaji kusema CAF hawajajipanga
Hiyo game ya ujerumani ilisubiri mpaka timu zikafika Airport ndiyo ikapelekwa Budapest ? uwe unaelewa kabla ya kuchangia UEFA imepanga mambo mapema CAF inasubiri nini ?
 
Sasa walicho kutana nacho namungo ni part two ya walivho kutana nacho kaizer chief, hawa wa angola walitolewa na kaizer chief na walieafanyia kitu walicho wafanyia namungo isipo kuwa wenzetu serikali yao ika imgilia kati mapema japo kuna wachezaji kama wa 3 wa kaozer chiefs hawa kucheza sasa nqona wakaona walikosea wakawaamulia namungo nafikiri CAF wawa toe kabisa hawa wa angola
 
Wakisumbua wambie Tuna assume As Vitta na Simba ndio ilikuwa fainali
 
Hiyo game ya ujerumani ilisubiri mpaka timu zikafika Airport ndiyo ikapelekwa Budapest ? uwe unaelewa kabla ya kuchangia UEFA imepanga mambo mapema CAF inasubiri nini ?
Uwezi kuwalaumu CAF, shida ni kwamba serikali zetu hazina uwazi, mfano ujerumani ilitanganza kutokuruhusu watu toka uingereza kutoingia ujerumani. Ndio maana UEFA wakahamisha mechi mapema,
Sasa huku Africa timu inatua airport ndo wanaanza kuzuia watu kuingia, walikua wapi kutangaza mapema?
 
Tanzania simba ana bonge la advantage..wageni wake wanakuja bila masharti... na mashabiki wanajaa uwanja wa taifa.

Simba ndio timu pekee inayocheza ikishangiliwa na mashabiki home games zake.
Watajanyagwa na al ahly vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…