Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda tu mkuuMorocco wanaakili nyingi kutuzidi...wanawathamini na kuwalinda raia wao...pongezi nyingi ziwaendee morocco country...wamatumbi tuendelee kujinadi kuwa "Tanzania hakuna corona" huku watu wake wakiangamia. Sifa inauwa!
I wish nikaishi Morocco mahala ambapo salama kabisa.
Ujerumani pia imefanya kama ilivyofanya Morocco, game ya RB Leipzig itapigwa ktk neutral ground huko Budapest.Kawaida sana wala huhitaji kusema CAF hawajajipangaHii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona.
Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na Tangawizi na wengine wanafuata muongozo wa WHO.
Baadhi ya nchi haziruhusu kabisa wageni, huku nyingine zikiwaruhusu na kuwaweka karantini, lakini ziko nchi nyingine kama Tanzania ambazo kwao wageni wanaingia bila masharti yoyote.
Kitendo cha baadhi ya Timu kuzuiliwa kuingia nchi zingine kunafanya ugumu wa mashindano haya kuendelea kufanyika, kwa mfano Kaizer Chiefs ya South Afrika imenyimwa ruhusa ya kuingia nchini Morroco kupambana na Waydad Cassablanca. Hii ni kwa sababu sera ya nchi yao hairuhusu wageni kuingia nchini humo kibwege na makorona yao.
Hiyo game ya ujerumani ilisubiri mpaka timu zikafika Airport ndiyo ikapelekwa Budapest ? uwe unaelewa kabla ya kuchangia UEFA imepanga mambo mapema CAF inasubiri nini ?Ujerumani pia imefanya kama ilivyofanya Morocco, game ya RB Leipzig itapigwa ktk neutral ground huko Budapest.Kawaida sana wala huhitaji kusema CAF hawajajipanga
Sasa walicho kutana nacho namungo ni part two ya walivho kutana nacho kaizer chief, hawa wa angola walitolewa na kaizer chief na walieafanyia kitu walicho wafanyia namungo isipo kuwa wenzetu serikali yao ika imgilia kati mapema japo kuna wachezaji kama wa 3 wa kaozer chiefs hawa kucheza sasa nqona wakaona walikosea wakawaamulia namungo nafikiri CAF wawa toe kabisa hawa wa angolaHii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona.
Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na Tangawizi na wengine wanafuata muongozo wa WHO.
Baadhi ya nchi haziruhusu kabisa wageni, huku nyingine zikiwaruhusu na kuwaweka karantini, lakini ziko nchi nyingine kama Tanzania ambazo kwao wageni wanaingia bila masharti yoyote.
Kitendo cha baadhi ya Timu kuzuiliwa kuingia nchi zingine kunafanya ugumu wa mashindano haya kuendelea kufanyika, kwa mfano Kaizer Chiefs ya South Afrika imenyimwa ruhusa ya kuingia nchini Morroco kupambana na Waydad Cassablanca. Hii ni kwa sababu sera ya nchi yao hairuhusu wageni kuingia nchini humo kibwege na makorona yao.
Na kama CAF wataamua kuchagua Neutral Ground wanakaribishwa Benjamin Mkapa Stadium huku watapata na Neutral fansCAF wachague Neutral Ground kwa mechi kama hizo, otherwise itakua ngumu sana
Wakisumbua wambie Tuna assume As Vitta na Simba ndio ilikuwa fainaliHii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona.
Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na Tangawizi na wengine wanafuata muongozo wa WHO.
Baadhi ya nchi haziruhusu kabisa wageni, huku nyingine zikiwaruhusu na kuwaweka karantini, lakini ziko nchi nyingine kama Tanzania ambazo kwao wageni wanaingia bila masharti yoyote.
Kitendo cha baadhi ya Timu kuzuiliwa kuingia nchi zingine kunafanya ugumu wa mashindano haya kuendelea kufanyika, kwa mfano Kaizer Chiefs ya South Afrika imenyimwa ruhusa ya kuingia nchini Morroco kupambana na Waydad Cassablanca. Hii ni kwa sababu sera ya nchi yao hairuhusu wageni kuingia nchini humo kibwege na makorona yao.
Na itakua fursa kwa nchi yetuNa kama CAF wataamua kuchagua Neutral Ground wanakaribishwa Benjamin Mkapa Stadium huku watapata na Neutral fans
Sawa Kabisa! Visit Tanzania on the move!!Mi nafikiri nchi ambazo zina mashrti waje wapige mechi zao dar
Ww unaweza kutamka? Pumbu ww
Uwezi kuwalaumu CAF, shida ni kwamba serikali zetu hazina uwazi, mfano ujerumani ilitanganza kutokuruhusu watu toka uingereza kutoingia ujerumani. Ndio maana UEFA wakahamisha mechi mapema,Hiyo game ya ujerumani ilisubiri mpaka timu zikafika Airport ndiyo ikapelekwa Budapest ? uwe unaelewa kabla ya kuchangia UEFA imepanga mambo mapema CAF inasubiri nini ?
Watajanyagwa na al ahly vibayaTanzania simba ana bonge la advantage..wageni wake wanakuja bila masharti... na mashabiki wanajaa uwanja wa taifa.
Simba ndio timu pekee inayocheza ikishangiliwa na mashabiki home games zake.
Mkuu mtu kama huyo wala hapaswi kujibiwa maana ni dalili za malezi mabayaMkuu matusi ya nini tena boss.