Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

Nimeelewa vizuri bro na umeelezea vizuri sana asa nawezaje kufungua chakra hzo saba kwa hatua nzuri yaan nifungue moja moja kwa mpangilio ili mpaka kufikia kwenye jicho la tatu nisipate madhara?
 
wewe ni mbulula
Hujui hata kuweka search results link,
Nimezipata hizi hapa, kazi inaanza sasa, mlozi kigagula wewe
Search results
Haijarishi ni nini utasema.. Lakini haita badiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu sema kila utakachosema haitabadiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu

Rakims
 
Nimeelewa vizuri bro na umeelezea vizuri sana asa nawezaje kufungua chakra hzo saba kwa hatua nzuri yaan nifungue moja moja kwa mpangilio ili mpaka kufikia kwenye jicho la tatu nisipate madhara?
Kuna hatua katika kufanya meditation...
Rejea hapa

Soma vizuri pamoja na Quotes zake. Kisha ukisha pata mwanga kuhusu meditation basi tutaenda hatua ya pili
 
Niliwahi kwenda kisiwani Mafai wakati fulani..kwenye utalii nikapanda boti inakioo kikubwa kwa chini kwa ajili ya kukuwezesha kuona chini ya bahari na uoto wake ambao haujaathiriwa na mabomu yatumikayo kwa ajili ya uvuvi haramu.
Kule chini ya bahari kuna manthari ya kibuluu mazuri sana..manthari haya ndiyo unayoyaona pale unapofungua jicho la tatu..yaani unajisikia vizuri sana.
 
Kwan mr we ushafungua jicho la 3
 
Kuna hatua katika kufanya meditation...
Rejea hapa

Soma vizuri pamoja na Quotes zake. Kisha ukisha pata mwanga kuhusu meditation basi tutaenda hatua ya pili
Sawa bro ngoj nipitie nitkupa mrejesho ntakapo kwama
 
Haijarishi ni nini utasema.. Lakini haita badiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu sema kila utakachosema haitabadiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu

Rakims
Bro unavumilia mengi hongera zako wazoee tu ila me kam kitu kina faida lazima nikifatilie nikijue kwa undani shukran kwa elimu hii ambao wanaona inawafaa wataftilia inshaallah [emoji120]
 
Kwan mr we ushafungua jicho la 3
Kwa kiwango kidogo...kwanini bado.
Jicho la tatu kila mtu analog..anazaliwa nalo kwani ni sehemu katika kichwa au Ubongo. Sasa kinachotokea ni namna unavyoishi na kukua ambapo Ubongo hupokea vitu vingi sana kupitia macho ya kawaida hivyo kufifisha nguvu ya jicho la tatu.
Kinachotakiwa kufanyika ili jicho la tatu lipate nguvu ni hizo Tahajudi kama zilivyosemwa na Rakims hivyo ninachofanya mimi ni mazoezi ya kuhuisha na kuamsha(activate) jicho langu la tatu.
Kuna wakati kwenye hayo mazoezi nafikia hiyo hali niliyoieleza.
Kama alivyosema mtaalamu Rakims kuna Chakra kwenye mwili wa binadamu ambazo ni lazima zote ziwe kwenye uwiano mzuri ili kuiamsha Chakra ya jicho la tatu na haya yanawezekana ila siyo kwa siku moja.
 
Haijarishi ni nini utasema.. Lakini haita badiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu sema kila utakachosema haitabadiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu

Rakims
Wewe ni mbulula
Miaka yote uko humu kujaza watanzania ujinga
Hii dalili wewe ulikuwa kilaza shuleni sasa umeangukia kwenye huu ulozi na pia huna shughuli ya maana kimaisha zaidi ya kushinda humu kundeleza huu utopolo kudanganya jamii na hizi pumba,na kama inayoonekana kwa jinsi ya mitanzania kuwa asilimia kubwa ya mbulula kama wewe inaamini huu upuuzi.
 
Mark my words Son... When you grow up you will understand why I called you a fool.

Rakims
 
Kwa kiwango kidogo...kwanini bado.
Jicho la tatu kila mtu analog..anazaliwa nalo kwani ni sehemu katika kichwa au Ubongo. Sasa kinachotokea ni namna unavyoishi na kukua ambapo Ubongo hupokea vitu vingi sana kupitia macho ya kawaida hivyo kufifisha nguvu ya jicho la tatu.
Kinachotakiwa kufanyika ili jicho la tatu lipate nguvu ni hizo Tahajudi kama zilivyosemwa na Rakims hivyo ninachofanya mimi ni mazoezi ya kuhuisha na kuamsha(activate) jicho langu la tatu.
Kuna wakati kwenye hayo mazoezi nafikia hiyo hali niliyoieleza.
Kama alivyosema mtaalamu Rakims kuna Chakra kwenye mwili wa binadamu ambazo ni lazima zote ziwe kwenye uwiano mzuri ili kuiamsha Chakra ya jicho la tatu na haya yanawezekana ila siyo kwa siku moja.
Nimekuelewa vizuri san mr ila wewe mpaka sasa umefungua chakra ngapi? mana mimi sielew utajuaje kma hapa nimefungua ya 1 au ya 2 msaada ndugu
 
Rejea kwenye Uzi Mkuu..kuna vitu utaanza kuviona ambavyo awali hukuwa navyo.
 
Nimekuelewa vizuri san mr ila wewe mpaka sasa umefungua chakra ngapi? mana mimi sielew utajuaje kma hapa nimefungua ya 1 au ya 2 msaada ndugu
Angalia kwenye video ya chakras nimeelezea kwa dalili na hali halisi hata wewe ukimtizama mtu utajua imefunga au imefungua...

Rakims
 
Mkuu jibu hapa kwanza.
Well kwa pale sijaona swali likowapi maana nimeona mtu kajiuliza swali kisha akajijibu mwenyewe..

Halafu siku hizi kujibu hoja kwa ushabiki ama kumuelezea mtu kitu ambacho teyari kakikataa sifanyi mkuu.

Pia vile vile nadhani hata swali lako japo teyari umejijibu liko nje ya mada ndio maana umeweza kuuliza na kujijibu mwenyewe...

Jamii forums ya zamani mtu akiwa haelewi kitu anaomba idhini ya kuuliza swali ili ajibiwe na kupatiwa maarifa. Ya siku hizi mtu anatoa kashfa au kejeli ili ujibu kama unatetea hoja apate maarifa..

Utaniwia radhi mkuu utoto sifanyi

Rakims
 
Angalia kwenye video ya chakras nimeelezea kwa dalili na hali halisi hata wewe ukimtizama mtu utajua imefunga au imefungua...

Rakims
link ya video bro, ila samahani kam ntakuwa nakukera [emoji120]
 
Back
Top Bottom