Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

Ulipo anaza ku quote vipengele vya dini nimeacha kusoma japo mwanzo umeelezea haya mambo hayafungamani na dini sasa why utoe mifano yake uko.sio biblia wala vitabu vingine vya dini vinaeleza hii. kama Quran inatoa mwanga kidgo kuhusu hili ...halina maana kwa watu wote.ila dini usika na wenyew kuamini dini.
Hukutakiwa kutoa mfano wowote wa biblia ama Quran kuhusu jambo lako.
 
Back
Top Bottom