Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

Rakims habari yako mkuu...! Amani iwe juu yako

Samahani yawezekana nikawa nauliza nje ya mada lakini ningependa kujua ama kufahama.

1. Kuna tofauti gani kati ya uchawi, ushirikina na shirki?

2. Je, mtu akienda kwa mganga kwa dhumumi la kutibiwa tatizo anakuwa amefanya uchawi ,ushirikina au shirki?
 
Mi kipindi nikiwa mdogo mdogo nasoma shule ya msingi nilikuwa naota za kutisha ikafikia hatua nikawa najua kwamba naota nikichoka kuwa ndani ya ndoto naamka

Siku hizi siwezi tena!
 
SAlama na kwako pia.

1: Tofauti kati ya uchawi na ushirikina (Shirki)

Misingi ya kiroho inafundisha Uchawi ni matendo ya kutumia katika kufanya effect kutoka upande wa kiroho na kutoa madhara katika ulimwengu wa nyama either ni uchawi mweupe (Miujiza kwa kudra ya Mungu) au mweusi (Miujiza kwa nguvu ya mashetani)...

2; Shirki

Shirki
ni Kuabudu asiyekuwa Mwenyezi Mungu mmoja yaani kumuwekea mwenyezi Mungu wenza kama mizimu kuomba mtu imsaidie katika maisha yake

Note:
Japo makosa madogo tu usipoangalia kwenye uchawi yanaweza kumpelekea mtu kuingia katika Shirki....

Rakims
 
Mi kipindi nikiwa mdogo mdogo nasoma shule ya msingi nilikuwa naota za kutisha ikafikia hatua nikawa najua kwamba naota nikichoka kuwa ndani ya ndoto naamka

Siku hizi siwezi tena!
Hiyo ni Lucid dream isome hapa

Rakims
 
Shukrani mleta Uzi Rakims mungu akujaalie palipo pungua Mrejesho tokea nimeanza ku pratice izi chakra nimeanza na root chakra pamoja na sacral nafanya mazoezi kwa wiki mara tatu nimeipata faida zifuatazo:

1. Nimejikuta napatwa na hali ya kuto kuogopa kiumbe chochote juzi mpaka nashangaa na hali inanitokea baada ya kufanya mazoezi ya root chakra wiki zilizopita niliwauwa chatu wawili kwangu sikuwa nawaogopa kabisa Tena nyakati za usiku.

2. Imani yangu juu ya muumba mbingu na ardhi imeongezeka maradufu.

3. Hali ya kuwa na hasira imepungua kwa kiasi kikubwa siwezi kukasirika kwa mambo madogo madogo

4. Nikiwa nafanya mazoezi ya sacral najikuta napata hamu ya kufanya jambo mpak litimie japo muda mwingine nahisi sehemu za siri Kuna nguvu Fulani hali hii huwaga inadumu kwa siku nzima.

Jambo ambalo tunakosea sisi binadamu tunahisi elimu tulizonazo hasa hizi za shule kuwa ndo kila kitu lakini ukweli ni kwamba unapojiona una elimu sana ya upande wa Fulani hayo maarifa ni sawa na punje ya mchanga katika elimu ya dunia hii ukijiona unajua kila kitu basi ujue huo ndo mwisho wako wa maarifa

Tafuteni maarifa muweze kuijua kweli mwenyezi mungu awajaalie heri wale wote wenye kutafuta maarifa alafu wakayutumia hayo maarifa bila kuumiza viumbe wengine

Nitazidi kuleta mirejesho kwa kila chakra nitayokuwa nafanyia mazoezi.
View attachment 2589644
 
Nawez kukuuliza kitu mr
 
Hongera mkuu mwenyezi Mungu azidi kukusimamia katika safari za maisha yako na masomo haya ya kiroho kwa ujumla.....

Rakims
 
Eeeeh nilivyo ona heading JICHO LA TATU nikashituka mana kitaani huku unasikiaga aaah anatoa jicho yule na unamuona mtoa jicho anayo Yale mawili Sasa unawaza au anatoaga la tatu [emoji23]
 
Eeeeh nilivyo ona heading JICHO LA TATU nikashituka mana kitaani huku unasikiaga aaah anatoa jicho yule na unamuona mtoa jicho anayo Yale mawili Sasa unawaza au anatoaga la tatu [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
 
Bro Inbox hunjb tena shida nn [emoji29]
Pm sishughuliki nayo sana maana kila mtu anafanya pm ajili ya quotes zake za thread... kwenye thread anaandika utumbo kwenye Pm anajikuta mwema... ya threads yamalizike kwenye threads..

Rakims
 
Pm sishughuliki nayo sana maana kila mtu anafanya pm ajili ya quotes zake za thread... kwenye thread anaandika utumbo kwenye Pm anajikuta mwema... ya threads yamalizike kwenye threads..

Rakims
Saw bro ila nlikuw na shida na ww private nawez pata namba zako
 
Saw bro ila nlikuw na shida na ww private nawez pata namba zako
Hiyo shida sina uwezo wa kukusaidia... umesoma thread hadi mwisho na bado unaona umekwama kupata namba nadhani hata shida ulionayo sitakuwa na uwezo wa kukusaidia mkuu.

Rakims
 
Hiyo shida sina uwezo wa kukusaidia... umesoma thread hadi mwisho na bado unaona umekwama kupata namba nadhani hata shida ulionayo sitakuwa na uwezo wa kukusaidia mkuu.

Rakims
Dah saw broo labd haijapangwa mm kujua elm hyo mana kila naemfata ananikatisha tu tamaa [emoji29][emoji120]
 
Kuna ishara ya yoyote ya jicho naweza kuona kama nikifanikiwa kufungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…