Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

Hongera mkuu mwenyezi Mungu azidi kukusimamia katika safari za maisha yako na masomo haya ya kiroho kwa ujumla.....

Rakims
Habari mkuu nilikuwa naomba unipe muongozo na kwa faida ya wengine ambao watakuwa wanapitia hii Kuna hali Fulani inanitokea wiki 2 zilizopita nilianza kufanya hii ya third eye kiukweli Kuna mabadiliko nayaona japo kwa uchache mfano nikihisi kitu Fulani basi kinatokea iwapo Kama mtu basi atakuja eneo Hilo na ambalo nipo

1. Nikiwa nafanya meditation naonaga mwanga mwepe kati kati ya macho huanza mdogo alafu kuwa mkubwa hali hii huambatana na mgandamizo katika kifua huwaga nahisi kinakuwa kizito mpaka nashindwa kuendelea naamua kuacha?

2. Hali nyingine nimeona kivuli kimenisimamia usoni Kama kinataka kufanana na mtu japo kuwa sijaweza kukiona kikiwa full hali hii imenitokea mara mbili?


Japo Nimejaribua kumsikiliza shekhe mmoja online anasema kuwa hao ni majini wanaoishigi kwenye nyumba za watu bila wahusika kujua ningependa unifahamishe kuhusu hili kwa kadri ulivyojaaliwa..!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ishara ya yoyote ya jicho naweza kuona kama nikifanikiwa kufungua
Moja ambayo ni maarufu utaanza kuona eneo la katikati ya nyusi zako linakuwa na mchoro kama wa mshumaa..

Rakims
 
Nakujibu kwa maelezo mapana naona quote inapotea.

Rakims
 
link ya video bro, ila samahani kam ntakuwa nakukera [emoji120]

Rakims
 
Asantee sanaa
Hivyo vitu vyakuona matukio yajayo huwa yananitokea sana mpaka huwa naogopa kwasasa nina miaka kama 2/3 ndo sijaona hiyo hali
 
 
upuuzi
 
Hukuwa na sababu ya kutumia hilo neno boya. Njia nzuri ya kufikisha ujumbe n kutousisha hasira au kulazimisha.
Acha uboya
Ndio maana watu weusi tunaonwa kama manyani kutokana na low IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…