Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

Ahsante,kwa elimu mkuu usichoke kutupokelea simu zetu kwa kuwa umeacha mawasiliano hapo chini..shukrani

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ulipo anaza ku quote vipengele vya dini nimeacha kusoma japo mwanzo umeelezea haya mambo hayafungamani na dini sasa why utoe mifano yake uko.sio biblia wala vitabu vingine vya dini vinaeleza hii. kama Quran inatoa mwanga kidgo kuhusu hili ...halina maana kwa watu wote.ila dini usika na wenyew kuamini dini.
Hukutakiwa kutoa mfano wowote wa biblia ama Quran kuhusu jambo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…