Awali ya yote ni lazima mjue Mpina sio wa anga hii wala sio wa type yao... mbaya kuliko yote ni moja ya watu kifo cha Magufuli kinamuuma sana na huenda yupo tayari hata kuuza uhai wake kumwaga Mchele na chuya basi kila mtu akose kiukweli Mpina ni mzizi mrefu sana 🤐 na nisiandike mie ila Kwenye x akina Kimambe wataanika.
Mpina amecheza rafu kali bungeni na kwa Bahati mbaya sana kiti pasipo kujua nini chaweza kutokea kikaona ngoja waombe athibitishe tuhuma zake kwa Bashe. Asijue Mpina ni mzizi mrefu na angeweza kuja na nondo zina weza zima bunge kwa masaa 24.
Bifu la Mpina na Bashe ni zito kuliko haya tunayoyajua na huenda kitalu kikagawanyika na kuzua mzozo wa kikatiba.🤐🙄
Kwanini Spika amevimba sana baada ya mwamba kumwaga Michele kwenye kuku wengi. Nani alimpa mamlaka hiyo na kwa nini afanye hivyo?
Je, alipata siri za ndani kwamba report yake itapigwa kata funua na mwanaharam spite hapo chacha ndio palipo mwakaza bb siri. Yaani mpaka ya chumbani anayajuwa huyu nani?
Well Mpina anataka kuumizwa ila sio kwa haki ni kwa dhuluma na nia mbaya kupoteza umaana wa ile report na huenda ficha mambo mazito nyuma ya report. Msishangae akapumzishwa kuudhuria bunge msishangae.
Ila pia msishangae kwa kile kitatokea baada ya mzalendo huyu zibwa mdomo. Bunge halitobaki kama lilivyokuwa na cheche zitakazo lipuka nje yakitalu zitaiacha jamuhuri ya wana kusadikika ktk maumivu makalu.
Ikumbukwe this is shadow war inside secret institute mtanielewa baadae.
Pia soma: