NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hadi 2026 utakua na mengi ya kusimulia wajukuu!!Bashe hakuingia kwenye vita yoyote na wala hajarudisha mashambulizi.
Mpina toka atemeshwe uwaziri anaonesha uhalisia wake, ni mbaguzi, na simply ni sukuma gang tu.
Bashe hana haja ya kujibizana na mjinga huyo, akae kimya tu, atajipiga kwa ujinga wake mwenyewe kama alivyofanya juzi, kashambulia yeye kajipiga kabari yeye.