FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hana hoja ya kujibiwa, majibu yake atapewa bungeni.Nani aliyekudanganya maisha ni lazima uwe mbunge. Jibuni hoja za mpina, acha mbambambaaa we shangazi.
Ufataani wake ushastukiwa mapema kabla hajauanza.
Ni nani alikwambia wewe kuwa maisha ni ubunge tu? Unazusha?