Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia

Tatizo Mbunge akiwakilisha maslahi ya Wananchi, taifa anapigwa vita sana na bunge lote kuanzia spika.

Spika anatakiwa kuwa neutral, wala asichukulie kitu chochote kinochosemwa na mbunge personal. Taifa ni kubwa kuliko Spika Rais, Raia yoyote.
 
Kwamba ndio unajua leo huyo Bibi ni Empty Set?!
 
Bashe naona kuna wazito washamchoka its either amebana maslahi yao au anakula peke yake hawapi space na wao wapige mpunga anahusishwa mzee wa nje ya box, kumbuka deal ya bashe Mo yuko back end. Bashe ni kijana wa rostam na hawa kwenye issue za madeal ya hela hasa za serikali wako attached sana.
Mpina hayuko peke yake na nadhani yule mzee wa Kongwa yuko back end ya mpina na ana pool of access na vitu vyote hivyo wengi wasichoelewa ukiwa spika wa bunge unakuwa kama mfumo hivi taarifa nyingi unazipata as you request.
lakini bashe ni mtu mjanja mjanja sana tena wa mjini kwelikweli ila kasoma na anajua kula kwa urefu wa kamba yake despite of him kuwa innovative lakini changes anazo implement wizara ya kilimo ni nafasi ya yeye kula pia.
 
Hata Bashe ni wa Kanda hii hii ya Wasukuma - wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora about 227km kwenda Mwanza liliko Ziwa Victoria

Ndo kusema unaamini kuwa kuna clash among Sukuma though Bashe ni msomali lakini amezaliwa na kukulia usukumani kiasi cha kuwa kama Msukuma tu?
 
Kitambo sana ccm hakuko shwari... Ilishakosa dira na mwelekeo Tangu enzi za Nyerere. Ni vile tu waTanzania wana ujinga na umaskini mwingi.
 
Mi nasubiri tu baada ya Mama ninani atakuwa raisi? Hicho kimbembe usishangae CCM ikaja na hitimisho apewe makonda.
 
Atafunzwa kufuata utaratibu.
Cha msingi tumejua baadhi ya tunayofanyiwa waTz na viongozi hata kama kupitia kinyume na utaratibu. Unachotujulisha ni kwamba hizo taratibu, kwa manufaa ya mafisadi, zinazuia upatikanaji wa taarifa muhimu tunazohitaji. Kupata viambatisho alivotumia Mpina ni kutokana na wazalendo waliochoshwa na maufisadi yao. Kukosekana wapinzani bungeni, ndo hayo xaxa.
Mpina, BIG UP kwa xana
 
liouleta ni uongo mtupu, ungekuwa siyo uongo angesubiri Spika aupitie, kilichomfanya azikiuke kanuni za bunge ni nini?

Unamaanisha ana mtandao wa kihalifu?

Hakina wajinga ndiyo waliwao.
Na wewe bibi umechoka! Hizi documents ni za uongo? Sema alikosea tu kumwaga mtama lakini kwenye ushahidi jamaa yuko vizuri!
 
Na wewe bibi umechoka! Hizi documents ni za uongo? Sema alikosea tu kumwaga mtama lakini kwenye ushahidi jamaa yuko vizuri!
Wala hajakosea kuzimwaga,nia ni watanzania wajue kweli yote ili wawe huru kufanya maamuzi. Kwa kawaida taarifa kama hizi huwa zinachakachuliwa ili kulinda dola.
 
Ila pia msishangae kwa kile kitatokea baada ya mzalendo huyu zibwa mdomo. Bunge halitobaki kama lilivyokuwa na cheche zitakazo lipuka nje yakitalu zitaiacha jamuhuri ya wana kusadikika ktk maumivu makalu.
Hadithi za ulela ulela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…