Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia


Crap. Sijwahi kuwa shabiki wa Mpina, lakini kwenye ataungwa mkono na kila mwenye akili timamu na anayelipenda Taifa hili.

Tunaomfahamu Bashe, hatushangazwi na aliyoyafanya. Tangu ujana wake, ametumika sana kwenye deals chafu. Hata kwenye hili atakuwa ametumika.
 
Mimi nadhani kila mjinga ndiye atamuona kufokafoka kwake kuwa anaonge cha maana. Kwangu mpina ni poyoyo tu kama mapoyoyo wengine wengi sana.

Nafahamu elewa wenu ni mdogo sana hamuwezi kuelewa mageuzi aliyokwisha yafanya Bashe na anayoendelea kuyafanya Bashe kwenye kilimo.

Tunafahamu pia lazima atakuwa na maadui wengi alipoikata mirija.

Mpina hana lolote zaidi ya kubwabwaja na kuhororoja, kutafuta kiki tu.
 
Wewe yumkini ni akili kibaba unayejiona umetimia kichwani, lakini umepungukiwa kama wengi waliokosa weledi.

Mpina kwenye hili huwezi kuzipuuza hoja zake. Kila hoja aliyoitoa ameambatanisha vielelezo rasmi tena vya kutoka kwenye taasisi rasmi za serikali na za mamlaka mbalimbali. Lazima uwe punguani hasa kuipuuza hoja yake.

Ungekuwa na weledi japo kidogo ungeanza kwa kutaja ni hoja gani na kielelezo kipi, havipo sahihi, kuliko kupiga kelele zisizo na tija.
 
Zote porojo tu, vielelezo vyanini zaidi?

Mpina kishajuwa kayakoroga alipoambiwa na spika yyeye athibitishe uongo wa Bashe, Mpina akaona hapa pagumu ndiyo akatafuta wajinga ndiyo waliwao akaanza kubwabwaja na kuhororoja yasiyokuwepo.

Na wajinga mmeingizwa mkenge na umewaingia.
 
Wewe haujui mambo ya Nchi hii tuachie Nchi yetu huyo Bashe anayewatumikia Wahuni au unadhani hatujui Siri iliyopo kati yake na Sponsor,Rostam na lord rings kama vipi mchukueni mpelekeni Zanzibar akaifanyie mapinduzi Tanganyika 2025 itaamua.
 

Wewe aheri ungetulia tu maana inaonekana hujui chochote kwenye sakata hili. Hata nikikuuliza ni vielelezo gani alivyowasilisha Mpina, yumkini hukijui hata kimoja. Pumzika mama. Unapiga tu kelele kama mtu aliyeambiwa kuwa uwe unasema Mpina mwongo, nawe ukabakia unapiga tu kelele wakati hujui chochote.

Hii ni kashfa kubwa sana. Rais Samia ana machaguo mawili tu: ama kumkana Bashe ili ibakie kuwa ni kashfa ya Bashe, au kumkumbatia fisadi Bashe ili iwe kashfa ya Serikali nzima.
 
Nayajuwa kuliko unavyofikiria, sema wewe, ushahidi umetakiwa uupeleke kwa Spika bungeni, wewe siku hiyohiyo ukimbilie kuwaita waandishi wa habari upige porojo zisizokuwepo. Ndiyo bunge linavyofanya kazi hivyo?

Mpina hajaanza leo kwa Bashe, labda hulifatilii bunge, bashe hana sababu ya kumjibu nje ya bunge. Mpina hamuwezi bashe hata chemebe kwa uelewa na uthubutu, labda siyo Msomali yule.
 
Faiza CCM ina wenyewe usijidanganye kiasi Hicho. Nataka nikwambie 2025 kazi itafanyika hata milima itasema CCM inawenyewe na wenyewe hawajulikani. This is a nation sio Taifa langu au la chama Bashe tunamtetea ila anashida ambazo uwenda zimewekwa kimkakati kufunuliwa.
Labda nikwambie unafikiri why Mh Tulia anahema au anataka nikwambie sikwambii muda utajibu
 
Hatuwezi kukuelewa mzee wa mahaba na CIA, MOSSAD, FBI! Unajiona una akili na maarifa kulilko watu wote! Unapenda uogopwe kumbe kiazi! Unapenda sana sifa za kijinga!

Nb: Vipi kuhusu Putin??
πŸ™πŸ™„πŸ€
 
Hatuwezi kukuelewa mzee wa mahaba na CIA, MOSSAD, FBI! Unajiona una akili na maarifa kulilko watu wote! Unapenda uogopwe kumbe kiazi! Unapenda sana sifa za kijinga!

Nb: Vipi kuhusu Putin??
Kama mtu anaweza tumia uhalisia kumpoteza mtu pasipo kuacha alama ya uhusika unafikiri kwanini usiwe na mahaba naye.
Putin kila kukicha anahaha kuitisha dunia atatumia nuclear weapons Marekani amemwambia "don't " by Biden. Alafu mwamba pasipo kujuwa akamtisha mmarekani akapeleka submarine zake karibu na USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ mmarekani cia wakawa kazini waka ya scann masubmerne yaka wakaja na taarifa fupi haya vichwa vya nyuklia unasemaje ? Nani akili kubwa?
 
ama mtu anaweza tumia uhalisia kumpoteza mtu pasipo kuacha alama ya uhusika unafikiri kwanini usiwe na mahaba naye.
Samahani, wewe unajihisi unaona yajayo kuhusu Urusi kuliko wao wenyewe?? Yaani wewe Mtanzania unaiona Urusi ya miaka 20 kuliko wao wenyewe?? Acha ushamba wa kijinga! Wao wenyewe wanajua dunia inaelekea wapi!

Nchi ina watu karibia watu 140 milioni wewe Mtanzania unaiona kesho yao! Kisa mahaba ya MOSSAD, CIA, FBI, M16!
 
Tuna wahuni kwelikweli wameshika ccm na dola kwa sasa. Yanahitajika mapambano makali 2025 kurejesha nchi mikononi kwa wazalendo. Upinzani ukijipanga uzuri utavuna sana 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…