Mbowe angekuwa na price tag angeshanunuliwa siku nyingi sana, wamemshindwa kote huko ndio maana wakaamua kumfanyia uhuni wa wazi, usijidanganye kuhusu Mbowe.Magu anajua kutandika watu vibao, akifanikiwa tu jua 2025 CCM watapita kirahisi sana tena. Na kiukweli mtu kama Msigwa, Prof J, Sugu and the likes wakipewa RC au DC hawachomoi, wapinzani wote wana price tag hadi Mbowe na Lissu , wote wana price tag.
Ili kupata umoja wa kitaifa na nakutambuliwa kimataifa, ( international recognition) lazima kuepo maridhiano Kati ya serikali na wanao ipinga, ila strategy ya kuitekeleza hayo ndo tatizo, sidhani kama JPM ni smart enough kisiasa kufanya peaceful lobbying ya wa pinzani, na sidhani watu kama mbowe zitto myika niwajinga kiasi hicho kutojua kama ccm is a sinking boat,Napenda kuwaleza mapema juu ya utabiri wangu huu ili yakianza kutokea msishangae na pengine kufadhaika bali mjipange kuyapokea yatayotokea...
Mkuu Salary Slip , kwanza asante kwa objectivity kwenye uchambuzi wako, maana kwenye hii jf ya sasa, wachambuzi mahiri ni adimu sana...
"Huu kwao utakuwa ni mtihani kwani kwa sasa hawana ubunge na pia hiki kitakuwa kipimo cha wao kusimama na vyama vyao na zaidi kusimamia msimamo wao kuwa Uchaguzi hakuwa halali kwani kukubali uteuzi maana yake umekubali aliekuteua kuwa akishinda Uchaguzi"
Hiyo ni kweli, ila wasipokomaa na kuwa na msimamo, tutachelewa sana kupata mageuzi tunayoyataka.Upinzani siyo watu wachache, Upinzani ni ideas, ni hitajio la kutaka ufanyaji mambo kwa utofauti na kwa mafanikio zaidi. Usidhani eti wakiondoka mtu yeyote kutoka chama cha upinzani ndo upinzani utakufa!. Upinzani hautokufa kwa sababu ni hitajio la wananchi!
Wasipotaka upinzani kwa njia za amani, watakutana na upinzani wa nguvu, na hawana uwezo wa kupredict nani ataongoza upinzani huo au utatokeaje, watashangaa tu damage imeshatokea kisha washindwe kujua la kufanya. Wanadamu siyo mifugo uiswage tu huku ikikuangalia!Hiyo ni kweli, ila wasipokomaa na kuwa na msimamo, tutachelewa sana kupata mageuzi tunayoyataka.
umeona mbali na niukweli mtupu,akunaga mkate mgumu mbele ya chai.Ni kweli kabisa mkuu...mm mtu ambaye sina Imani nae Sana....Ni katibu mkuu wa sasa wa Chadema....naona kama amekaa kwa kuegesha tu... Naona kama ataunga juhudi wakati wowote....tatizo kubwa Africa....siasa pia ni kazi ya kudumu.
Umeongeamengi mazuri na yakiuchambuzi kasoro uliposema uchaguzi ulikua huru na haki hii m kinyumeMkuu Salary Slip , kwanza asante kwa objectivity kwenye uchambuzi wako, maana kwenye hii jf ya sasa, wachambuzi mahiri ni adimu sana.
Kwa kuanzia nauponda uchambuzi wako kwa Halima Mdee, kufuatia aggregate ya kura za ubunge na urais, chama kilichopata zaidi ya asilimia 5% ya kura zote, kinapata nafasi za wabunge wa viti maalum, hivyo Chadema itavuna nafasi kama 5 au zaidi, hivyo Mdee atarejea Bungeni.
Hili la wapinzani kuteuliwa, lengo sio kuudhoofisha upinzani bali wapinzani watakao teuliwa ni uteuzi wa aina tano
1. Wapinzani moderates waliogombea urais ili tuu kuonekana, hawa walimuunga mkono JPM na kuonyesha wako tayari kuunga mkono juhudi hivyo Queen Sendiga na yule mgombea urais mdogo kuliko wote, watateuliwa.
2. Wapinzani puppets - Hawa ni wapinzani 00
query oilambao wako upinzani kwa vile upinzani upo, lakini ni wapinzani puppets wa CCM na Magufuli, hawa ni kama Mbatia, Lipumba, Mrema, Cheyo etc.
3. Wapo wapinzani ambao ni good ones and assets, wako upinzani in a wrong way, huko upinzani they are just wasting their precious time, watateuliwa ili tu put uwezo wao to a good use. Huo ni uteuzi wa watu kama Dr. Kitila Mkumbo, hivyo ndani ya upinzani bado kuna some good assets, ambazo bila kuingia Bungeni it's a waste kama JJ.Mnyika, hawa wanaweza kuteuliwa kumsaidia Magufuli.
4. Kuna Wapinzani wanateuliwa just to save their faces, wasiumbuke. Hawa ni wapinzani ambao ni spent force, they have no value to add, lakini wanateuliwa kuwanusuru na kufulia, hivyo mtu kama Mrema au Cheyo akiteuliwa ni just saving faces. Hata Dr. Slaa ameteuliwa kundi hili baada ya kutangaza anashindia mihogo hadi kuitwa Dr.Mihogo!, kule Toronto akaajiriwa kibarua kubeba box super market, huku ni kumdhalilisha na hivyo ameteuliwa saving his face.
5. Uteuzi wa wapinzani kuimarisha upinzani. Baada ya CCM kushinda ushindi wa kishindo katika uchaguzi Mkuu huu uliokuwa huru na wa haki, Watanzania wamewakataa wapinzani na kuichagua CCM kutokana na kazi nzuri ya JPM, Bunge la sasa ni CCM dominated, Bunge hilo litabore na kukosa msisimko kwenye mijadala, hivyo tumependekeza, wapinzani wachache ambao ni wapinzani wa kweli, wateule ili kuimarisha upinzani Bungeni na kuleta msisimko, hawa ni wapinzani kama Zitto, Lissu, Heche, Bulaya, JJ.Mnyika etc
hivyo uteuzi wao sio kudhoofisha upinzani bali kuimarisha upinzani!.
P
Uchaguzi huu Magufuli ameshindishwa na vyombo vya dola na wala si CCM wenzake. Sasa hivi chama kiko mfukoni mwake kabisa.Akifanya hivyo ndiyo atazidi kukizamisha chama cha ccm maana wengi watakosa teuzi, kwahiyo migogoro itakuwa mikubwa zaidi vile maccm yamepambana yakijua yatapata teuzi! lakini wanaletwa wengine nakupewa nafasi zao tena ni wale waliokuwa wakiwadhihaki.