maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Acha kabisa,halafu kinamalizikia na 'Mungu Mwenyezi atuhurumie,atusamehe dhambi zetu, na atufikishe kwenye uzima wa milele'Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana, hiki kitubio sio mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa,halafu kinamalizikia na 'Mungu Mwenyezi atuhurumie,atusamehe dhambi zetu, na atufikishe kwenye uzima wa milele'Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana, hiki kitubio sio mchezo.
😁😁😁😁Tumetoka mbali tunaenda mbali!
Mkuu hakuna msukuma mzembe kazi nafanya maana mm nimetoka mikononi mwa wachapa kazi na niko vyema tu kiuchumi sema nimepambana sana kupata hiki nilicho nacho .Ngosha,
Fanya kazi. Wasukuma ni watu wa kazi, tunajua mlikuwa victims waMagu kiasi kwamba mpaka sasa mna hang over isiyoeleweka.
Hicho kikura chako hakitabadili chochote kile.
Anyway, Magu hakuwa msukuma.
Mimi pia kwetu LAKE ZONE.
Efd machine tangu enzi unajulikana ni mradi rzone, wakusanya mapato ni wakala, hakuna ubishi.Watanzania zumbukuku kaeni mkao wa kushangilia wapigaji wanapokula hata kama hutapata hata senti yao moja toka pesa zenu za kodi mtakazotozwa kwa kushangilia kwenu.
ID fake za EFD za revenue collection kwa wadau wasio na maslahi kwa umma zimeingia tena vuup bila hodi ! Wataiona pesa inaingia kwao mapema asubuhi kabla hawajapiga mswaki bila wajibu wao kazini. Tumekwisha! Tulidhani Zanzibar kulikuwa na ufalme pekee kumbe hata Tanzania bara umerudi. Karume kisha mwanae sasa.
Mwinyi kisha mwanae na Hulu bara hali kadhalika habari ndiyo hiyo!