Jicho langu Kuu la 'Kiuchambuzi' na 'Kimtazamo: juu ya 'Mabadiliko' ya Saa 24 tu zilizopita

Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana, hiki kitubio sio mchezo.
Acha kabisa,halafu kinamalizikia na 'Mungu Mwenyezi atuhurumie,atusamehe dhambi zetu, na atufikishe kwenye uzima wa milele'
 
Ngosha,

Fanya kazi. Wasukuma ni watu wa kazi, tunajua mlikuwa victims waMagu kiasi kwamba mpaka sasa mna hang over isiyoeleweka.

Hicho kikura chako hakitabadili chochote kile.

Anyway, Magu hakuwa msukuma.

Mimi pia kwetu LAKE ZONE.
Mkuu hakuna msukuma mzembe kazi nafanya maana mm nimetoka mikononi mwa wachapa kazi na niko vyema tu kiuchumi sema nimepambana sana kupata hiki nilicho nacho .
 
Efd machine tangu enzi unajulikana ni mradi rzone, wakusanya mapato ni wakala, hakuna ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…