Jicho langu la Kiufundi na Tahadhari kwa Simba SC kuelekea katika ' Desicive Game ' yake na AS Vita Club tarehe 2 April, 2021

Hivi nyie utopolo mtaendelea kututisha Simba kwa riwaya katika media?

Kama club bingwa Afrika amefungwa,unaanzaje kututisha na wengine ambao ni size yetu tu?

Hivi hamjui nao wanatuogopa?
Hata sijui nikujibu nini..

Kipi kimekufanya uhisi mimi ni yanga, sasa tusiseme ukweli[emoji23]
 
Mkuu, jamaa kaongea points za ukweli kuhusu chama, wakati mwingine anazingua sana kwa kupozesha mashambulizi, aambiwe ukweli. Ni kheri ukosolowe ili uyaone mapungufu yako na kuyafanyia kazi.
Mpira ni mchezo wa wazi, watu wanaona mkuu. Chama angekuwa na maamuzi km ya condeboy, team ingekuwa inapata magoli mengi sana.

Best,
Kejuu
 
Nimewaangalia sana hao akina sundown na wydad (msuva et al). Uchezaji & level yao haitofautiani na Simba
 
Mtanikumbuka sana hiyo tarehe 2 Vita 3 kubwa la mapaka 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…