Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Aibu nyuzi zinakuumbua.GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwanie najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.
Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Hahahaaaaaaa1!!!!!!!GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwanie najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.
Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Refaaaaa kala helaaa, huoni aliongeza dkk 10.Mtani wangu poti hawa uto wataweza kweli kushinda bao mbili mtungi?
Ila tuseme ukweli aliemtapeli gharib mtashinda taifa hongera yake [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2958]View attachment 2638817
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuona MTU WA Yanga njiani Anaweweseka mtulize kwanza wamevurugwaaaaa