Jidanganyeni kuwafunga kwao Club Africaine na Marumo Gallants itakuwa hivyo pia kwa USM Alger

GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwanie najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.

Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Aibu nyuzi zinakuumbua.
 
Hahahaaaaaaa1!!!!!!!
 
Halafu usm alger haiongozi ligi na wala si ya pili, iko nafasi ya nane huko.
Nasema hiviii; kule algiers uto hatobooooiiii
 
Back
Top Bottom