Jide amtolea povu shabiki kisa kamuombea kupata mtoto

Jide amtolea povu shabiki kisa kamuombea kupata mtoto

JD hakupaswa kupanic,, Siku zote unaweza ukaomba MUNGU akupe jambo fulani na lisiwe,,, ikatokea Siku Moja tu,, ukakutana na mtu usiyemjuwa,, akakwambiya MUNGU atakufanikishia shida zako za moyoni,,, unapaswa kusrma AMEEN,, Sababu hujuwi yule aliyosema maneno yale ni MALAIKA AU BINADAMU,, na hata akiwa BINADAMU pia hujuwi DARAJA LAKE KWA MUNGU,, kwn UCHA MUNGU unatofautiana kwa Sisi ubinadamu,, unaweza kumdharau mtu kwa UFUKARA,, AU MUONEKANO wake wa KIDUNIA alio nao,, lakini kwa MUNGU ni mtu mwenye NGUVU KUBWA SANA za KUOMBA NA KUSIKILIZWA SALA AU DUA ZAKE, , pia hata MALAIKA hujigeuza ktk maumbo ya KIBINADAMU sometimes,, kwahyo tujifunze kuto kumdharau usiyemjuwa,, huenda ikawa UNAMTUSI MALAIKA pasi na kujuwa...
 
Nasikia Jide aliwahi kuwa demu wa Papii kocha, amtafute apashe kiporo
Mkuu,punguza v2ko,
Ila nimeamini kuwa ' the world is cyclick in nature' mambo huenda kwa kijirudia au kwa mzunguko!
 
Naona wema kalike majibu ya jide,au ni macho yangu hayaoni vizuri?
 
Kuna wenye watoto ila wanasimangwa nao kila uzi. Wapo wanaolia wapata hata watoto 5
 
Kiukweli mimi Jide nimemuelewa. Unajua unaweza kuwa na shida ikafika mahali mtu unaikubali hali yako unaona uko sawa tu then mtu from nowhere anakuja kukukumbusha kwamba kuna kitu kwako hakiko sawa tena mahali ambapo hapahusiani kabisa lazima povu likutoke
 
TATIZO WATANZANIA VIHEREHERE SANA.TUWE TUNAJARIBU KUTOFAUTISHA KATI YA SANAA NA MAISHA YA MSANII HUSIKA.
KAZI YA SHABIKI NI KUMPA SAPOTI MSANII NA SIO KULETA SHOBO KWENYE MAISHA YAKE
Kunywa novida kwa hela yako
 
TATIZO WATANZANIA VIHEREHERE SANA.TUWE TUNAJARIBU KUTOFAUTISHA KATI YA SANAA NA MAISHA YA MSANII HUSIKA.
KAZI YA SHABIKI NI KUMPA SAPOTI MSANII NA SIO KULETA SHOBO KWENYE MAISHA YAKE
Word [emoji122]
 
Kiukweli mimi Jide nimemuelewa. Unajua unaweza kuwa na shida ikafika mahali mtu unaikubali hali yako unaona uko sawa tu then mtu from nowhere anakuja kukukumbusha kwamba kuna kitu kwako hakiko sawa tena mahali ambapo hapahusiani kabisa lazima povu likutoke
Uko sahihi, hebu chukua K-vant ndogo mrembo.
 
Back
Top Bottom