Jide amtolea povu shabiki kisa kamuombea kupata mtoto

Hahaha mimi huko mgeni au ndo staili ya kuninyima?
[emoji3] sasa ukiweka hapa mrembo haitapendeza. Anyway nipe coordinates tu nitakutafuta kupitia google maps na kukufikishia mzigo wako.
 
[emoji3] sasa ukiweka hapa mrembo haitapendeza. Anyway nipe coordinates tu nitakutafuta kupitia google maps na kukufikishia mzigo wako.
Huko kwa Ras Simba namaanisha [emoji23] [emoji23] namba mbona ilishafika pm zamani
 
anaitwa komando jideeee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama katuma hiyo namba,nami nifowardie nimtumie ya kutolea
Kha [emoji50] ! Mi mwenyewe nahitaji ufungaji bora, ati assist nikupe wewe??!!

Unahitaji kukemewa kilokole 'Go to hell...'
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na kama hataki je?
 
hana lolote ukweli anaujua halafu anazuga!
anamaumivu ya ndani awe mkweli apate kusaidiwa (changamoto za fursa matokeo yake mchanga unaondoka unabaki moto)
 
Kha [emoji50] ! Mi mwenyewe nahitaji ufungaji bora, ati assist nikupe wewe??!!

Unahitaji kukemewa kilokole 'Go to hell...'
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Walokole wa wapi wanasemaga go to hell [emoji41] [emoji41] af acha uchoyo hebu mupe na huyo
 
Basi mwambie asitaje hela kwenye comments zake[emoji41]
Aisee! Hili jambo ulitakiwa uninong'oneze ili nimpige mkwara kuwa hamna kitu usichopenda kama mwanaume mhongaji.

Haki unaniua kwa presha sasa[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Aisee! Hili jambo ulitakiwa uninong'oneze ili nimpige mkwara kuwa hamna kitu usichopenda kama mwanaume mhongaji.

Haki unaniua kwa presha sasa[emoji26] [emoji26] [emoji26]
Dawa ya mtu mwenye kiherehere cha kuhonga ni kuwa mhongaji zaidi yake baaas
 
Dawa ya mtu mwenye kiherehere cha kuhonga ni kuwa mhongaji zaidi yake baaas
Mi nishafika kwenye level ya itapendeza huku nasubiri pesa itoke Urusi sasa yeye anaweza kucash in si nitakukosa [emoji26].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…