He he he vituko weweKelele nyingi za nini Mkuu ? Njoo nikupe dada yangu halafu uwe unaishi kwetu niwe nakutia Makwenzi deile
Hao wanaotetea ni wale wale....... Kina Mario..... Rijali kabisa hawezi tetea huu upuuzi[emoji135]Si ndio hapo halafu kuna watu wanatetea huu ujinga ,ama kweli wanaume wanazidi kupungua duniani
Haha ndio hivyo mkuu baada ya makwenzi ukiniletea kibezi naongea na sista asubuhi unashangaa kakurundikia kapu la bikini,Nenda hata Serengeti Kajifunze kwa Simba dume ,uone jinsi anavyo tengeneza Territory yake ,He he he vituko wewe
Umesemaaa!Gardner sasa yuko huru kuolewa tena
Kumbe uwanaume ni kuoa mwanamke asiye na hela? akiri nyingene kuzielewa ni shida. Ukioa asiye na hela akizipata uwanaume wako umekwisha kwa hiyo unamuacha?Hii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama binti
Sasa kama anapenda kufungua zipu na ajitume tu
SASA SISI TUFANYEJE?
Unapendaje sasa wakiachana?eti Umependa kuona wameachana kah wewe sibure ni mchawi,tabia za kijinga na za kishenzi sana kuona watu mnapiga vigelegele kuona wawili hawa wameachana, ya kwenu yamewashinda kazi kufuatilia ya watu, mungu awasamehe hamjui mnalolitenda,Hii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama binti
Sasa kama anapenda kufungua zipu na ajitume tu
Bora ukae degreeHaiya bwana ukioa taabu ukikaa bachelor tena shida yaani balaaaa
Kwahiyo we ulitaka aendelee kukaa kwa mateso mpaka lini?Unapendaje sasa wakiachana?eti Umependa kuona wameachana kah wewe sibure ni mchawi,tabia za kijinga na za kishenzi sana kuona watu mnapiga vigelegele kuona wawili hawa wameachana, ya kwenu yamewashinda kazi kufuatilia ya watu, mungu awasamehe hamjui mnalolitenda,
Kwani unahitaji kumuoa?mmh sijui kama yupo kwenye soko bado?
Hapana aisee siwez kuleaKwani unahitaji kumuoa?
Hakun komando kwenye mapenziKomando kashindwa kukomaa...kweli hatari!
Mmh pengine tayari kila post mambo ni hivi hivileo unashida gani? mbona unalia vilio vya ajabu ajabu vinaamsha hisia
Wamemfanya vibaya kwa kwelMmh pengine tayari kila post mambo ni hivi hivi