Jide apewa talaka rasmi

Jide apewa talaka rasmi

Si ndio hapo halafu kuna watu wanatetea huu ujinga ,ama kweli wanaume wanazidi kupungua duniani
Hao wanaotetea ni wale wale....... Kina Mario..... Rijali kabisa hawezi tetea huu upuuzi[emoji135]
 
He he he vituko wewe
Haha ndio hivyo mkuu baada ya makwenzi ukiniletea kibezi naongea na sista asubuhi unashangaa kakurundikia kapu la bikini,Nenda hata Serengeti Kajifunze kwa Simba dume ,uone jinsi anavyo tengeneza Territory yake ,
 
sasa unakuta mtu kqa chana na mpenzi wake anakaa na maumivu mpka anaugua madonda ya tumbo....
ikiwa wanandoa wanamwagana na maisha yanAendelea vipi kuhusu wapenzi tu....?
 
Hii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama binti
Sasa kama anapenda kufungua zipu na ajitume tu
Kumbe uwanaume ni kuoa mwanamke asiye na hela? akiri nyingene kuzielewa ni shida. Ukioa asiye na hela akizipata uwanaume wako umekwisha kwa hiyo unamuacha?
 
Hii habari imenifurahisha sana, mi sipendi tabia ya mwanaume kuwa kama binti
Sasa kama anapenda kufungua zipu na ajitume tu
Unapendaje sasa wakiachana?eti Umependa kuona wameachana kah wewe sibure ni mchawi,tabia za kijinga na za kishenzi sana kuona watu mnapiga vigelegele kuona wawili hawa wameachana, ya kwenu yamewashinda kazi kufuatilia ya watu, mungu awasamehe hamjui mnalolitenda,
 
Kwahiyo we ulitaka aendelee kukaa kwa mateso mpaka lini?
Ya kwetu bado hayajatushinda ila ikifikia hatua hiyo pia hatutasita kufata nyayo za komando
 
jide jaman looh mwanamke mzuri mwenyewe
 
Back
Top Bottom