Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Ha ha ha hisia za kulia au?leo unashida gani? mbona unalia vilio vya ajabu ajabu vinaamsha hisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha hisia za kulia au?leo unashida gani? mbona unalia vilio vya ajabu ajabu vinaamsha hisia
Ndiyo vilio vibaya hiviHa ha ha hisia za kulia au?
Sasa unalia kwanini wakati Jide mwenyewe ndiye aliyeiomba hiyo talaka?jaman nimelia kweli leo kusikia hii habari loh
Mhhh hii kubwa kulikoGardner sasa yuko huru kuolewa tena
Dah! Wewe...umenisikitisha mno.Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana?
Tuko wengi kwenye huo usaili!Duuu ngoja nianze kujipendekeza kwa jide anipe jina mjini hapa.
Hawakufunga ndoa ya kanisa nadhani...Harusi kanisani, taraka mahakamani.
Kwani mtoto ndo kigezo cha watu waliooana?!Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana?
Ahaaaa weee jamaaGardner sasa yuko huru kuolewa tena
ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA''Kufeni!!! Kwani huku mlikuja kufanyaje??!
ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA''
Huu sasa ugomvi wa ngumi na mateke.Gardner sasa yuko huru kuolewa tena
binamu huyo waziri hana mke au ndio kma wastara vile no.4jide anaolewa na waziri flan iv amazing gadner akanye