Jide apewa talaka rasmi

Jide apewa talaka rasmi

Itabidi jide amtafute idriss sultan a.k.a dr mwaka kama shida yake ni kupata mtoto hahahahhah
 
Kwa jide alikuwa kakosea njia coz jide ni mzee hata hawaendani. kabisaa..cheki mtoto alienae sasa hivi ni hatareeeee...... mtoto mkareeeeeee.....
 

Attachments

  • 1455616100964.jpg
    1455616100964.jpg
    29.9 KB · Views: 20
ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA''

Atleast ungetoa jibu ningekuelewa.

We mtu unaandika thread, umekuja mwenyewe alafu unauliza eti anataka mfanyeje?!
Kejeli hujibiwa kwa kejeli
 
jide anaolewa na waziri flan iv amazing gadner akanye
 
Unajua Gardner G. Habash alijichanganya sana kuachana na Mke wake wa kwanza hii ni dhambi inamtafuna na hili suala uwa linamgharimu sana moyoni mwake wangekuwa mbali sana muhimu akumbuke kumlea mtoto wake kwa mke wake wa kwanza.
 
Back
Top Bottom