Jide hazeeki jamani

Ukiona mtu anamfagilia mwanamke kwa kiwango hicho, lazima awe anamshobokea huyo mtu.
Hata ingelikuwa anamsema kwa kinyume chake, lazima awe anamzimikia.
 
Hakuna lolote huyo ni kibibi, hiyo ni PhotoGrid tu imemng’arisha.
 
Atazeeka vipi hajaingia Labor...!?
Yani wewe kama hujazeeka kimwili basi akili na nafsi yako vimezeeka. Wewe kama kuzaa kumekungorosha endelea hivyo hivyo, wenzio wanashusha ngoma mpaka 4 na bado wanadai, kimuonekano wa nje huwezi dhani kama wana watoto zaidi ya wawili.... mifano michache irene kiwia 3 kids, mama terrence lounge 4 kids, Nonhle Ndala 4 kids bado wa mtaani kwetu, hao wote bado wanalipa.
Mnanuka shida, stress na roho mbaya zinawazeesha mnasingizia leba.. mtcheeeeew
 
Asanteee
 
Kwa vipi...? Kwani hujui kuchoka (kuchuja) ama kuchakaa kwa dada/mama zetu ni pamoja na Matokeo ya kubeba ujauzito kisha kuzaa..?

Zari anawatoto wa 5 ,Hamisa 2 lakini wapo fresh kuliko wadada kibao ambao hamjazaa
 
...sasa unakubali nini,unakataa nini
..kumbe unajua kuzaa kunabadili muonekano wa mtu,
....basi tu ubishi!
We nawe umefufuka toka wapi kubadilika muonekano ndo kuzeeka? Hiyo point kwamba huwezi kudhani wana watoto wawili nlimaanisha muonekano wao hauna matumbo ya ajabu ajabu wala manyama yasiyoeleweka na hata uvaaji wao hauna tofauti sana na walipokua hawana watoto sio kama ilivyozoeleka kwamba ukizaa lazima ubadilike uwe mnene hovyo hovyo na ya michelini... niliyemquote kanielewa, kuzaa hakuzeeshi unless hujitunzi au una stress za maisha.
Labda wewe unidadavulie kuzeesha maana yake nini?
 
Hebu kutana na jide physically kwnz halaf uje kusema hazeeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…