Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Funny ni kwake yeye kudumaa (hakui)not funny.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funny ni kwake yeye kudumaa (hakui)not funny.
Akuee aelekee wapi na ww unaekuwa umefika wapFunny ni kwake yeye kudumaa (hakui)
Akue aitwe Mama, mtamuita JIDE hadi lini...?Akuee aelekee wapi na ww unaekuwa umefika wap
We ukiitwa mama cjui baba inatoshaAkue aitwe Mama, mtamuita JIDE hadi lini...?
Yani wewe kama hujazeeka kimwili basi akili na nafsi yako vimezeeka. Wewe kama kuzaa kumekungorosha endelea hivyo hivyo, wenzio wanashusha ngoma mpaka 4 na bado wanadai, kimuonekano wa nje huwezi dhani kama wana watoto zaidi ya wawili.... mifano michache irene kiwia 3 kids, mama terrence lounge 4 kids, Nonhle Ndala 4 kids bado wa mtaani kwetu, hao wote bado wanalipa.Atazeeka vipi hajaingia Labor...!?
Na ww n kibabu vilevleHakuna lolote huyo ni kibibi, hiyo ni PhotoGrid tu imemng’arisha.
AsanteeeYani wewe kama hujazeeka kimwili basi akili na nafsi yako vimezeeka. Wewe kama kuzaa kumekungorosha endelea hivyo hivyo, wenzio wanashusha ngoma mpaka 4 na bado wanadai, kimuonekano wa nje huwezi dhani kama wana watoto zaidi ya wawili.... mifano michache irene kiwia 3 kids, mama terrence lounge 4 kids, Nonhle Ndala 4 kids bado wa mtaani kwetu, hao wote bado wanalipa.
Mnanuka shida, stress na roho mbaya zinawazeesha mnasingizia leba.. mtcheeeeew
Kwani kuingia leba ndo kuzeeka?Atazeeka vipi hajaingia Labor...!?
Kwa vipi...? Kwani hujui kuchoka (kuchuja) ama kuchakaa kwa dada/mama zetu ni pamoja na Matokeo ya kubeba ujauzito kisha kuzaa..?
...sasa unakubali nini,unakataa ninikimuonekano wa nje huwezi dhani kama wana watoto zaidi ya wawili....
We nawe umefufuka toka wapi kubadilika muonekano ndo kuzeeka? Hiyo point kwamba huwezi kudhani wana watoto wawili nlimaanisha muonekano wao hauna matumbo ya ajabu ajabu wala manyama yasiyoeleweka na hata uvaaji wao hauna tofauti sana na walipokua hawana watoto sio kama ilivyozoeleka kwamba ukizaa lazima ubadilike uwe mnene hovyo hovyo na ya michelini... niliyemquote kanielewa, kuzaa hakuzeeshi unless hujitunzi au una stress za maisha....sasa unakubali nini,unakataa nini
..kumbe unajua kuzaa kunabadili muonekano wa mtu,
....basi tu ubishi!