Angeokota vipande vya makalioRubby nae alitaka kuiga kunya kwa tembo....
aiseee sitaki kuamini kuwa umekosa hata like ..hii comment yako mbona imeshiba akili mnoooo ..umeongea vyema kabisaaaaMwanamke akiwa ktk stress kuropoka hovyo ndo namna yake ya kuhandle stress, kumuuliza mwanamke mambo ambayo alifanya wkt kavurugwa ni dhahiri hatendewi haki. Nakumbuka show yake moja alikua anaimba huku akitukana pua km nini cjui, nadhan alimlenga Gadner. Me nakua na msimamo kuto yumbishwa nao, lkn huwa cwachukiagi na nawapenda kwakua najua wana weakness. Kuna changamoto kubwa ukibahatika kukutana na boss mwanamke, mama mwenye nyumba, police mwanamke,
au Jambaz mwanamke nk. Mungu katupa wanaume sibra kabla ya kufanya maamuz. Lkn nadhan kutokaa na jambo moyoni mda mrefu na kusahau, kunawasaidia kiafya na huchangia kuishi kwingi.
HahaaAngeokota vipande vya makalio
kilichopo clouds waachieni wana clouds sugu alipambana nao sana lkn huwezi shinda vita pale wale jamaa wamehozi industry ya medianaweza nikawa nipo tofauti na watu wengine mimi Jide nimemwelewa kwa kiasi kikubwa kama Seven alikwenda akazungumza nao nyimbo zipigwe na wao wakagoma kupiga sasa hapo nani mwenye tatizo nasema kutoka moyoni Ruge ni miongoni mwa makaa makubwa yaliyoko duniani.. hii kampeni ya kataa kuwa kaa inamlenga moja kwa moja Ruge mwenyewe
Bro unakosea sana... kwa sisi wafanyabiashara wanasema ukitaka biashara yake ikue weka msimazi wa kike...wenzetu wako very sharp na wana multitask... usiweke changamoto za mtu binafsi kuisema jinsia nzima. nimelelewa na mama single mother ali struggle kuuza mkaa mpaka kanisomesha ..kamwe usidharau nguvu ya mwanamke
Ndo maana mm na na social media2, nikienda tv bac ujue naangalia mpira. Hayo maradio yana mwisho wake.kilichopo clouds waachieni wana clouds sugu alipambana nao sana lkn huwezi shinda vita pale wale jamaa wamehozi industry ya media
wewe rama dee anakula raha mbele uko kwanza hana time na mziki anafanya kama starehe tuAsee! Kaikataa ile barua yake kabisa, nakumbuka aliuita waraka wa lady jaydee part one, alivyosema anatoa part two ruge akawahi mahakamani ndio wakamzuia. Na katika ule waraka alisema mpaka anakufa hataki kusikia clouds wanacheza nyimbo yake na akifa wasitangaze kifo chake na wasiende msibani. Hivi wakati anaandika lile libarua sijajua alikuwa na frustration gani. Leo anataka kuwatupia clouds lawama kwa kosa lake mwenyewe. Kiukweli nikifuatilia turn back ya rama dee, Ruby nimegundua clouds bado ni msaada wa hawa wasanii japo ndio dampo lao la lawama. Ruby baada ya kuachana na clouds alipauka japo alikuwa anapewa full support ya efm na majizo but walishindwa. Clouds wanajua ni jinsi gani ya kum treat msanii ili wapige pesa.
mkuu umeongea kitu kikubwa sana tulivamia na majambazi kama sita wawili wanawake .. nilijifanya mtata kiasi jamaa wa kiume akawaambia wale mademu 'ebu mshughurikieni huyo' aisee huwezi amini mkuu mwanamke anaroho mbaya kwenye maamzi ..si alinikata uume mkuu, saivi nina kibamia yani sina hamu na viumbe hawa.Mwanamke akiwa ktk stress kuropoka hovyo ndo namna yake ya kuhandle stress, kumuuliza mwanamke mambo ambayo alifanya wkt kavurugwa ni dhahiri hatendewi haki. Nakumbuka show yake moja alikua anaimba huku akitukana pua km nini cjui, nadhan alimlenga Gadner. Me nakua na msimamo kuto yumbishwa nao, lkn huwa cwachukiagi na nawapenda kwakua najua wana weakness. Kuna changamoto kubwa ukibahatika kukutana na boss mwanamke, mama mwenye nyumba, police mwanamke,
au Jambaz mwanamke nk. Mungu katupa wanaume sibra kabla ya kufanya maamuz. Lkn nadhan kutokaa na jambo moyoni mda mrefu na kusahau, kunawasaidia kiafya na huchangia kuishi kwingi.
Maybe haujaelewa, ninaongelea kitendo cha kunyoosha mikono na kurudi clouds wampigie nyimbo zake, kwenye interview alikili ugomvi na clouds umemyumbisha. Kwa hiyo bosi kwa akili yako mtu akipata demu wa kizungu na kuwekwa ndani ulaya ndio katusua? Basi atufanani kufikili.wewe rama dee anakula raha mbele uko kwanza hana time na mziki anafanya kama starehe tu
Baada ya hapo ikawaje?zilipigwa siku ile xxl na wakatangaza beef imeisja siku nzima walicheza nyimbo zake
POINT!Kaka na mm ninae mama lkn hyo ndo saikolojia yao, Hawana uwezo wa kuvumilia kitu matokeo yake Hukurupuka bila kufanya maamuzi ya busara. Ushawahi kuwa na boss mwanamke? Wengi huhisi anadharauliwa hata km ni jambo la kawaida. Kwa wanawake wenzie atona wanamuonea wivu, wanaume Wanamdharau. Kutana na askar wa kike labda awe anakijua otheryz! Mwanamke hana ile kupuuzia jambo. Akisikia jirani kaongea Kitu, atachukua kanga atamfuata. So wapo hvyo, hata km unampenda mamaako na mm wangu nampenda pia.
Hahaha unataka kusema kibamia chako kimesababdhwa na majambaz wa kike? Haha we mkali mkuumkuu umeongea kitu kikubwa sana tulivamia na majambazi kama sita wawili wanawake .. nilijifanya mtata kiasi jamaa wa kiume akawaambia wale mademu 'ebu mshughurikieni huyo' aisee huwezi amini mkuu mwanamke anaroho mbaya kwenye maamzi ..si alinikata uume mkuu, saivi nina kibamia yani sina hamu na viumbe hawa.
Kaka wamaume tupo wachache sn, waliowengi ni watu wa kurushiana maneno na wanawake, hiyo ni tabia ya kike. Niwah kutumiwa msg 200 ,na ex wangu za matusi, mm nilituma msg km 10 tu. Kila akituma 20 me natuma 1 nayo nikimwabi ok sawa, basi naomba yaishe. Baada ya kujua yey ndo mkosahi, akaja kuomba msamaha.aiseee sitaki kuamini kuwa umekosa hata like ..hii comment yako mbona imeshiba akili mnoooo ..umeongea vyema kabisaaaa
binafsi huwa nashangazwa na mtoto wakiume anayetaka kufananisha maamuzi ya mtoto wakike yaweze kufanana na ya mwanaume ..huwa nachoka kabisaaa
safi sana hivyo ndivyo ambavyo mwanaume anapaswa kuwa ..E
Kaka wamaume tupo wachache sn, waliowengi ni watu wa kurushiana maneno na wanawake, hiyo ni tabia ya kike. Niwah kutumiwa msg 200 ,na ex wangu za matusi, mm nilituma msg km 10 tu. Kila akituma 20 me natuma 1 nayo nikimwabi ok sawa, basi naomba yaishe. Baada ya kujua yey ndo mkosahi, akaja kuomba msamaha.
Na mimi nikajua labda ameanza gym.Yaani nikajua anaruka ruka kwamba anaimba raggae siku hizi