Jide mbona unaruka ruka?

Jide mbona unaruka ruka?

Rubby nae alitaka kuiga kunya kwa tembo....
 
Mwanamke akiwa ktk stress kuropoka hovyo ndo namna yake ya kuhandle stress, kumuuliza mwanamke mambo ambayo alifanya wkt kavurugwa ni dhahiri hatendewi haki. Nakumbuka show yake moja alikua anaimba huku akitukana pua km nini cjui, nadhan alimlenga Gadner. Me nakua na msimamo kuto yumbishwa nao, lkn huwa cwachukiagi na nawapenda kwakua najua wana weakness. Kuna changamoto kubwa ukibahatika kukutana na boss mwanamke, mama mwenye nyumba, police mwanamke,
au Jambaz mwanamke nk. Mungu katupa wanaume sibra kabla ya kufanya maamuz. Lkn nadhan kutokaa na jambo moyoni mda mrefu na kusahau, kunawasaidia kiafya na huchangia kuishi kwingi.
aiseee sitaki kuamini kuwa umekosa hata like ..hii comment yako mbona imeshiba akili mnoooo ..umeongea vyema kabisaaaa
binafsi huwa nashangazwa na mtoto wakiume anayetaka kufananisha maamuzi ya mtoto wakike yaweze kufanana na ya mwanaume ..huwa nachoka kabisaaa
 
naweza nikawa nipo tofauti na watu wengine mimi Jide nimemwelewa kwa kiasi kikubwa kama Seven alikwenda akazungumza nao nyimbo zipigwe na wao wakagoma kupiga sasa hapo nani mwenye tatizo nasema kutoka moyoni Ruge ni miongoni mwa makaa makubwa yaliyoko duniani.. hii kampeni ya kataa kuwa kaa inamlenga moja kwa moja Ruge mwenyewe
kilichopo clouds waachieni wana clouds sugu alipambana nao sana lkn huwezi shinda vita pale wale jamaa wamehozi industry ya media
 
Kaka na mm ninae mama lkn hyo ndo saikolojia yao, Hawana uwezo wa kuvumilia kitu matokeo yake Hukurupuka bila kufanya maamuzi ya busara. Ushawahi kuwa na boss mwanamke? Wengi huhisi anadharauliwa hata km ni jambo la kawaida. Kwa wanawake wenzie atona wanamuonea wivu, wanaume Wanamdharau. Kutana na askar wa kike labda awe anakijua otheryz! Mwanamke hana ile kupuuzia jambo. Akisikia jirani kaongea Kitu, atachukua kanga atamfuata. So wapo hvyo, hata km unampenda mamaako na mm wangu nampenda pia.
Bro unakosea sana... kwa sisi wafanyabiashara wanasema ukitaka biashara yake ikue weka msimazi wa kike...wenzetu wako very sharp na wana multitask... usiweke changamoto za mtu binafsi kuisema jinsia nzima. nimelelewa na mama single mother ali struggle kuuza mkaa mpaka kanisomesha ..kamwe usidharau nguvu ya mwanamke
 
kilichopo clouds waachieni wana clouds sugu alipambana nao sana lkn huwezi shinda vita pale wale jamaa wamehozi industry ya media
Ndo maana mm na na social media2, nikienda tv bac ujue naangalia mpira. Hayo maradio yana mwisho wake.
 
Asee! Kaikataa ile barua yake kabisa, nakumbuka aliuita waraka wa lady jaydee part one, alivyosema anatoa part two ruge akawahi mahakamani ndio wakamzuia. Na katika ule waraka alisema mpaka anakufa hataki kusikia clouds wanacheza nyimbo yake na akifa wasitangaze kifo chake na wasiende msibani. Hivi wakati anaandika lile libarua sijajua alikuwa na frustration gani. Leo anataka kuwatupia clouds lawama kwa kosa lake mwenyewe. Kiukweli nikifuatilia turn back ya rama dee, Ruby nimegundua clouds bado ni msaada wa hawa wasanii japo ndio dampo lao la lawama. Ruby baada ya kuachana na clouds alipauka japo alikuwa anapewa full support ya efm na majizo but walishindwa. Clouds wanajua ni jinsi gani ya kum treat msanii ili wapige pesa.
wewe rama dee anakula raha mbele uko kwanza hana time na mziki anafanya kama starehe tu
 
Mwanamke akiwa ktk stress kuropoka hovyo ndo namna yake ya kuhandle stress, kumuuliza mwanamke mambo ambayo alifanya wkt kavurugwa ni dhahiri hatendewi haki. Nakumbuka show yake moja alikua anaimba huku akitukana pua km nini cjui, nadhan alimlenga Gadner. Me nakua na msimamo kuto yumbishwa nao, lkn huwa cwachukiagi na nawapenda kwakua najua wana weakness. Kuna changamoto kubwa ukibahatika kukutana na boss mwanamke, mama mwenye nyumba, police mwanamke,
au Jambaz mwanamke nk. Mungu katupa wanaume sibra kabla ya kufanya maamuz. Lkn nadhan kutokaa na jambo moyoni mda mrefu na kusahau, kunawasaidia kiafya na huchangia kuishi kwingi.
mkuu umeongea kitu kikubwa sana tulivamia na majambazi kama sita wawili wanawake .. nilijifanya mtata kiasi jamaa wa kiume akawaambia wale mademu 'ebu mshughurikieni huyo' aisee huwezi amini mkuu mwanamke anaroho mbaya kwenye maamzi ..si alinikata uume mkuu, saivi nina kibamia yani sina hamu na viumbe hawa.
 
wewe rama dee anakula raha mbele uko kwanza hana time na mziki anafanya kama starehe tu
Maybe haujaelewa, ninaongelea kitendo cha kunyoosha mikono na kurudi clouds wampigie nyimbo zake, kwenye interview alikili ugomvi na clouds umemyumbisha. Kwa hiyo bosi kwa akili yako mtu akipata demu wa kizungu na kuwekwa ndani ulaya ndio katusua? Basi atufanani kufikili.
 
Kaka na mm ninae mama lkn hyo ndo saikolojia yao, Hawana uwezo wa kuvumilia kitu matokeo yake Hukurupuka bila kufanya maamuzi ya busara. Ushawahi kuwa na boss mwanamke? Wengi huhisi anadharauliwa hata km ni jambo la kawaida. Kwa wanawake wenzie atona wanamuonea wivu, wanaume Wanamdharau. Kutana na askar wa kike labda awe anakijua otheryz! Mwanamke hana ile kupuuzia jambo. Akisikia jirani kaongea Kitu, atachukua kanga atamfuata. So wapo hvyo, hata km unampenda mamaako na mm wangu nampenda pia.
POINT!
 
mkuu umeongea kitu kikubwa sana tulivamia na majambazi kama sita wawili wanawake .. nilijifanya mtata kiasi jamaa wa kiume akawaambia wale mademu 'ebu mshughurikieni huyo' aisee huwezi amini mkuu mwanamke anaroho mbaya kwenye maamzi ..si alinikata uume mkuu, saivi nina kibamia yani sina hamu na viumbe hawa.
Hahaha unataka kusema kibamia chako kimesababdhwa na majambaz wa kike? Haha we mkali mkuu
 
E
aiseee sitaki kuamini kuwa umekosa hata like ..hii comment yako mbona imeshiba akili mnoooo ..umeongea vyema kabisaaaa
binafsi huwa nashangazwa na mtoto wakiume anayetaka kufananisha maamuzi ya mtoto wakike yaweze kufanana na ya mwanaume ..huwa nachoka kabisaaa
Kaka wamaume tupo wachache sn, waliowengi ni watu wa kurushiana maneno na wanawake, hiyo ni tabia ya kike. Niwah kutumiwa msg 200 ,na ex wangu za matusi, mm nilituma msg km 10 tu. Kila akituma 20 me natuma 1 nayo nikimwabi ok sawa, basi naomba yaishe. Baada ya kujua yey ndo mkosahi, akaja kuomba msamaha.
 
safi sana hivyo ndivyo ambavyo mwanaume anapaswa kuwa ..
nakumbuka week iliyopita kuna Dada mmoja hvi nirafiki yangu tumewahi soma wote sasa huyu Dada ameshaolewa katk mawasiliano kumbe mumewe bwana nimtu mwenye wivu mnooo ..basi kuna siku nilimtext HLW ..Jamaa alikuwa na Simu ya mkewe akanitumia text kwa Simu yake sasa ..wewe nani na una mawasiliano yapi na mke wangu ..(MIMI NIKASEMA TOBA) nikamjibu mbona huyo ni Dada yangu tu ..basiiii kilichofuata hapo nimvua ya msg za matusi nikakaa kimyaaaa kabisa bila kujibu
baadae akaanza kumtukana mama yngu ..ndio nikaamua kumjibu but ilikuwa nimemjibu kwa busara mnooo na baada ya muda akaanza kujishusha na kujiona kuwa yeye nimpumbavu tena wa mwisho ...
nilichojifnza nikuwa mwenye kutanguliza hekima na busara ktk kila jambo ..sio kila jambo linalo kukabili basi yakupasa utumie maguvu tu nakukabiliana nalo..kwanza wnawake wengi niwatu waku react na wanapo react nimara chache mnoo kuwakuta wakiiongoza na busara ...na kurushiana maneno nisehemu ya maisha yao..
 
Back
Top Bottom