Jide na dogo dogo gumzo mjini

Jide na dogo dogo gumzo mjini

by warumi;
Yes, sio sifa nzir, sam machozi alikataa kumsamehe, clouds pia kakataa kupatana nao, kumbe na global nao walikuwa kwenye bifu na akakataa kuongea nao mpaka gadner akaingilia kati, kwa kwel huyu dada apa tu ana aribu cv yake.

Pia wakati mwingine binadamu sio watu wa kuwaamini, sam machoz alipendwa sana na jide ilikuwa kila kitu yeye, baadae akamgeuka na kuanza kumsema maneno machafu sana yeye na mumewe gadner, gpl nao ni wanafki , clouds kama wanavyojulikana ila sometimes vinyongo sio ishu na ndio maana bibi yule hanenepi kwa kuwek vitu rohon utafikr yeye malaika au mungu

Mkuu warumi hapo blue color madawa yamechanganywa!

Nimechanganya nini? Isije ikawa wewe ndo umejichanganya
 
Last edited by a moderator:
Ooii, Flippin hell《in Scotish accent》

mamakibunju huyo kijana mweusi apo ndo shemej yet mwingine kwa gadner, ni msaidiz wa jide na pia ni mtu wake wa karibu sana, gadner ni firauni sana yule , ni chui aliyejificha ngoz ya kondoo
 
Attachments

  • 1409548391778.jpg
    1409548391778.jpg
    27.4 KB · Views: 281
Last edited by a moderator:
kapten amuache tu dem mwenyewe hazai

We ulo wazaa un uhakika watakua ?????Acheni machukizo nyie ndo mnazaaga watoto ata kumi mnakufa na mavi makalioni hamna ata wa kuwafuta .
 
ndio uyo uyo ni maarufu wa kwenye mitandao, jide nae anatafuta mimba kwa nguvu daah.
 
Kuna habar niliandika humu kuhus mama lulu kununuliwa piki pik na lulu kesho yake nikakuta habar front page, eti wanadai chanzo cha karibu na familia hiyo kimewanyetisha habar wakat walitoa humu yan ni waongo sana wale

Hahaaa binamu nimechekaje

Chanzo cha karibu na familia ukageuka kuwa wewe na thread yako ya jf.. hawana maana hao
 
Nilishtuka sana halaf wakasema mnyetishaji wao aliwapigia simu kuwaambia kuwa lulu kamnunulia mama yake pik pik dah nikasema aya magazet ya udaku n shida sana
 
We ulo wazaa un uhakika watakua ?????Acheni machukizo nyie ndo mnazaaga watoto ata kumi mnakufa na mavi makalioni hamna ata wa kuwafuta .

usiugeuze ukweli kua chuki kuongea kweli si dhambi.kwani uongo mwanamke tasa yule sababu alikua anatoa mimba mfululizo aliokua jitegemee
 
Huo ni uzushi, mwanamke hasipozaa ndio maneno hayo alikuwa anatoa mimba. Kutoshika mimba kwa mwanamke kunatokana na mambo mengi, inawezekana hata mumewe akawa na matatizo. Nakushauri ndugu usimsemehe vibaya mwanamke hasiyebahatika kupata mtoto ,maumivu anayopitia ni yeye tu anajua.
 
hasiyebahatika= asiyebahatika, hasipozaa=asipozaa
 
Huo ni uzushi, mwanamke hasipozaa ndio maneno hayo alikuwa anatoa mimba. Kutoshika mimba kwa mwanamke kunatokana na mambo mengi, inawezekana hata mumewe akawa na matatizo. Nakushauri ndugu usimsemehe vibaya mwanamke hasiyebahatika kupata mtoto ,maumivu anayopitia ni yeye tu anajua.

Mumewe ana mtoto wa kiume, kutokushika mimba isiwe sababu ya kumtukana
 
Kwani mumewe alimpima DNA huyo mtoto akaakikisha ni wake!!? Hii dunia ina vituko kuna baba mmoja ameachana na mkewe walioishi 20yrs baada ya kugundua watoto wote 2 sio wake.
Kuongelea suala la watu kutopata mtoto ni upumbavu binamu tuachane nalo.
 
Mmh!! Hatar hii
 
Mmh!! Hatar hii

Binamu nimemuona Jide kwenye kipindi chake kayaongelea kidogo haya et mbona magazet yanamsema yeye tu kwan kajioa peke yake,yaan hawamsemi na gadna,ila Jide kauzu kishenziii yupo sirias hatak mchezooi
 
WE kumbe aliongelea kwenye diary? Akawa anasemaje? Ebu nipe uhondo
 
Dinazarde ebu nitumie ile nyimbo ya jide na kidumu inaitwa NITAFANYA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom