mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
kapten amuache tu dem mwenyewe hazai
by warumi;
Yes, sio sifa nzir, sam machozi alikataa kumsamehe, clouds pia kakataa kupatana nao, kumbe na global nao walikuwa kwenye bifu na akakataa kuongea nao mpaka gadner akaingilia kati, kwa kwel huyu dada apa tu ana aribu cv yake.
Pia wakati mwingine binadamu sio watu wa kuwaamini, sam machoz alipendwa sana na jide ilikuwa kila kitu yeye, baadae akamgeuka na kuanza kumsema maneno machafu sana yeye na mumewe gadner, gpl nao ni wanafki , clouds kama wanavyojulikana ila sometimes vinyongo sio ishu na ndio maana bibi yule hanenepi kwa kuwek vitu rohon utafikr yeye malaika au mungu
Mkuu warumi hapo blue color madawa yamechanganywa!
Ka kiume, anaitwa wancy nadhan , ni msaidiz wa jide pale nyumban lounge, pia ni model
Ooii, Flippin hell《in Scotish accent》
kapten amuache tu dem mwenyewe hazai
Kuolewa ni Sheria, Kuzaa ni Majaliwa, yasikie kwa mtu hivyo hivyo omba yasikupate wewe na kizazi chako...
Kuna habar niliandika humu kuhus mama lulu kununuliwa piki pik na lulu kesho yake nikakuta habar front page, eti wanadai chanzo cha karibu na familia hiyo kimewanyetisha habar wakat walitoa humu yan ni waongo sana wale
Hahaaa binamu nimechekaje
Chanzo cha karibu na familia ukageuka kuwa wewe na thread yako ya jf.. hawana maana hao
We ulo wazaa un uhakika watakua ?????Acheni machukizo nyie ndo mnazaaga watoto ata kumi mnakufa na mavi makalioni hamna ata wa kuwafuta .
usiugeuze ukweli kua chuki kuongea kweli si dhambi.kwani uongo mwanamke tasa yule sababu alikua anatoa mimba mfululizo aliokua jitegemee
Huo ni uzushi, mwanamke hasipozaa ndio maneno hayo alikuwa anatoa mimba. Kutoshika mimba kwa mwanamke kunatokana na mambo mengi, inawezekana hata mumewe akawa na matatizo. Nakushauri ndugu usimsemehe vibaya mwanamke hasiyebahatika kupata mtoto ,maumivu anayopitia ni yeye tu anajua.
Huo ni uzushi, mwanamke hasipozaa ndio maneno hayo alikuwa anatoa mimba. Kutoshika mimba kwa mwanamke kunatokana na mambo mengi, inawezekana hata mumewe akawa na matatizo. Nakushauri ndugu usimsemehe vibaya mwanamke hasiyebahatika kupata mtoto ,maumivu anayopitia ni yeye tu anajua.
Mumewe ana mtoto wa kiume, kutokushika mimba isiwe sababu ya kumtukana
Kwani mumewe alimpima DNA huyo mtoto akaakikisha ni wake!!? Hii dunia ina vituko kuna baba mmoja ameachana na mkewe walioishi 20yrs baada ya kugundua watoto wote 2 sio wake.
Kuongelea suala la watu kutopata mtoto ni upumbavu binamu tuachane nalo.
Mmh!! Hatar hii
Binamu nimemuona Jide kwenye kipindi chake kayaongelea kidogo haya et mbona magazet yanamsema yeye tu kwan kajioa peke yake,yaan hawamsemi na gadna,ila Jide kauzu kishenziii yupo sirias hatak mchezooi