Jide na dogo dogo gumzo mjini


Hahahahaaaaa tema mate chini! eti? anamfilisi na mitoto yake haramu? Hahahaaa nimecheka sana!
 
Mmh jide ni mgumu sana wa kusamehe, yani ukimkosea tu jua hakuna kupatana naye milele. Afu kumbe mzee wa bamaga alimfata gardner kuomba msamaha afu still jide akachomoa duuh, jide ana roho ya kisasi kupita maelezo

Kawaida mwanamke asipozaa huwa na roho ngumu sana! Mungu atampa tu na yeye mtoto siku moja!
 
Hahaha binamu me hapo tu napokupendea, jide unamfil sana but kwenye mapungufu yake unamsema tu. Jide inabidi ajifunze kusamehe wenzie, kinyongo au uchungu unaweza ukakukosesha baraka zako. Ana roho ya kinyongo mno, labda yeye hakoseagi mwenzetu

Akianza kuchepuka na dogo mtoto wa vitoto atatasemehe tu!
 
Jide ni kicheche tena wa chinichini,bora hata gadna anafanya hadharani,jide ni moto,mpaka sasa amewapanga wanne ila ni siri kubwa sana

Khaa wanne tu ndiyo kicheche? Mbona ata hajafikia 1/8 ya list ya Gardner?
Bado ni muaminifu sana mpaka hapo!
 
Watu kwa mitungo ya uongo hawajambo. Jide katulia zake anasaka hela na wengine busy kumfuatilia. Ameshawajibu inst. Halafu ya Jide ndiyo tunaona wakati ya wengine ni mabovu kuliko yai bovu ni vile tu hayawekwi hadharani eti ni siri ya ndani au ya miyoni mwao. Mwacheni Lady wetu.
 
Khaa wanne tu ndiyo kicheche? Mbona ata hajafikia 1/8 ya list ya Gardner?
Bado ni muaminifu sana mpaka hapo!

Sure mkuu. Gadner ana list ya men na women anawatundika na haisemwi. Jide kamvumilia sana. Hakuna mwanamke anakatiza mbele ya GH hata house girl hakatizi. Hivi mnakumbuka issue moja ilivuma sana magazetini kuwa GH alimtandika House Girl? Ni fursa kwa Jide naye ajinafasi tena aachane na huyu Mariooo mtaka vya kunyonga.
 
 
Aaah kumbe ni yule..anaitwa Matokeo hilo la Gardner alijipa tu alivohamia Dar..jina lake la ubatizo ni Matokeo

Uwiiii kumbe ni matokeo pia alikua anatangaza Clouds fm
 

Makubwa haya! Bila shaka una ushahidi wa hii direct accusation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…