Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WE kumbe aliongelea kwenye diary? Akawa anasemaje? Ebu nipe uhondo
Mimi nimeona RED ALERT aliposema ndoa kuvunjika sio peke yake hata nelson mandela yake ilivunjika, nikasema apa kuna namna kabisa duh, ila gadner kazid umalaya yule, anagonga had wanaume, halaf nasikia kamtia mtu mimba ndo maana bibie kanuna gadna anamfilis na mitoto yake haramu akaona isiwe kesi
Mmh jide ni mgumu sana wa kusamehe, yani ukimkosea tu jua hakuna kupatana naye milele. Afu kumbe mzee wa bamaga alimfata gardner kuomba msamaha afu still jide akachomoa duuh, jide ana roho ya kisasi kupita maelezo
Hahaha binamu me hapo tu napokupendea, jide unamfil sana but kwenye mapungufu yake unamsema tu. Jide inabidi ajifunze kusamehe wenzie, kinyongo au uchungu unaweza ukakukosesha baraka zako. Ana roho ya kinyongo mno, labda yeye hakoseagi mwenzetu
Jide ni kicheche tena wa chinichini,bora hata gadna anafanya hadharani,jide ni moto,mpaka sasa amewapanga wanne ila ni siri kubwa sana
Khaa wanne tu ndiyo kicheche? Mbona ata hajafikia 1/8 ya list ya Gardner?
Bado ni muaminifu sana mpaka hapo!
Sure mkuu. Gadner ana list ya men na women anawatundika na haisemwi. Jide kamvumilia sana. Hakuna mwanamke anakatiza mbele ya GH hata house girl hakatizi. Hivi mnakumbuka issue moja ilivuma sana magazetini kuwa GH alimtandika House Girl? Ni fursa kwa Jide naye ajinafasi tena aachane na huyu Mariooo mtaka vya kunyonga.[/QUOTE
Ndio maana hataki house girl nyumbani kwake!!! u
Khaa wanne tu ndiyo kicheche? Mbona ata hajafikia 1/8 ya list ya Gardner?
Bado ni muaminifu sana mpaka hapo!
Gardner ni nani?
muulize dadako anamjua.
Ntamuuliza mamako maana anauza mbunye bila shaka kishagongwa muhuli na babako mdogo gardner
Gardner ni nani?
Ni mme wa lady jaydee
Aaah kumbe ni yule..anaitwa Matokeo hilo la Gardner alijipa tu alivohamia Dar..jina lake la ubatizo ni Matokeo
Ahahhahahh uwiiii dah watu wabaya eti matokeo, ndo yale yale ya george kujiita romy jones, dah
Gadner sio mkorofi na ni manager mzur, tatizo lake,anapenda sana uchi mno, yan too much, anapenda sana kugegeda watu, kuna ka jamaa pale nyumban lounge kinaitwa wancy sijui, kakatomb san mpak jide akajua still bad akaendelea kumsamehe ila jamaa too much